Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,485
- Thread starter
- #41
Karibu Lizy! Hebu weka wazi unajiskia unahitaji ndoa !
Hahahahaha. . . Judgement sijisikii kuhitaji ila nataka kwenda na wakati na mie.
nilikumicje karibu sana ngoja nimwite Asprin kwa ukaguzi upya
Mie zaidi mkwe Blaki Womani ila huyo babu Asprin achana nae asije zua balaa maana kukaguliwa upya si mchezo.
Mamndenyi asante mama , @Duzente Sigwente , Mwali asanteni dearest.
figganigga tujidai wote. Mia.
nitonye dah kidogo nisahau eti. . nilikukosa sana Nitty.
Na wewe Bishanga acha uchokozi, ukimwagiwa tindibutu mi simoo.
Last edited by a moderator: