Hahahah patna umeyajuaje hayo yote lakini?
Nimeangalizia kwenye kitabu! lol
Teh teh...itabidi nkuazime hicho kitabu nami nidese...
Ukiendelea kuappear mida ka hii ntakugea.
BTW, leo mama charminglady kakununia nini??
Sijazoeaga kukuona time hizi atii!!!
Mama watoto ndiye aliyekuwa ananisaidia kuandika ujue...
Ndo mlikuwa mmeamka kula daku au?
Patna hivi usiku wakubwa huwa wanaamka kufanya nini...tafwazali jibu usiliandike eenh, maana utazua zogo bureeee!
We sio msaidizi...ni NYUMBA BWAKU sema tu sikujii mara nyingi
Mbona mdomo umekuwa mzito?
Mbona mdomo umekuwa mzito?
Nimenuna