NimewaMiss bana. . . .

NimewaMiss bana. . . .

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,485
Aiseee nimewamiss jamani.

Kipenzi changu Konnie Kongosho na wifi yangu King'asti embu nipeni michongo, tajiri la kihaya Bishanga bado vipesa vipo vipo au ashafilisiwa na kina The secretary?

Nimemiss mutu mingi hata sijui nianzie wapi kuwataja. Kwanza naogopa wengine ntasahau kuwataja alafu watadhani siwapendi kumbe nilikuwa nawaota daily sooooo. . .bora nisitaje. Ila naona ndoa nyingi hata sielewi elewi. . .yani sijui na yule wangu ndo nshapokonywa kwa uzembe!!!!?

Newayyyyyy...nilikuwa napalilia palilia mazao mahali bana but i'm baaaaaaack. Wale mlokuwa mnanikumbuka kwa vitendo ndio nimeitikia wito hivyo, asanteni kwa kunikumbuka.

Love y'all sana.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.
 
Wow Lizzy! How sweet to see you back.Umepotea sana kiasi kwamba server za JF zilipata kazi kubwa kukutambua!
Mie nilikumiss ile mbaya maana posts zako nilizipendaga sana.
Karibu mamie, tunakukaribisha sana chitchat.
 
Unanigwaya na mi pia nakugwaya...yani bila bila. Nilikumiss sana lakini aisee tajiri la kihaya.
 
Wow Lizzy! How sweet to see you back.Umepotea sana kiasi kwamba server za JF zilipata kazi kubwa kukutambua!
Mie nilikumiss ile mbaya maana posts zako nilizipendaga sana.
Karibu mamie, tunakukaribisha sana chitchat.
Hahahahahahha. . Missed you too wangu. Ngoja ntaanza kuporomosha vitu humu ili usinimiss zaidi.
 
Kujipendekeza tu

Na hapo utajifaragua hadi uende PM, nyoo, kaa hapa hapa

Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.
 
Mungu ibariki Tanzania,
Dumisha uhuru na umoja,
Wake kwa waume na watoto,
Mungu ibariki,
Tanzania na watu wake.............
Atteeeeeeeeeeention wote simameni kiumbe mwenye upekee jf kaingia..........msiniulize kwa nini.......ila jamani sisi wengine tunamgwaya.

na kuwatch ujue haiwezekani hadi umwimbie wimbo wa taifa
 
Back
Top Bottom