Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

Zawadi zawadi yangu, uwapi binti mweupe
Kipenzi wa roho yangu, kabinti mwenye mapepe
Na ahadi za kizungu, wacha ukweli nikupe
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Kwakuwa mwana sanaa, nitawataja kwa beti
Yameshapita masaa, simsahau Bahati
Alojiona staa, ameolewa BABATI
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Felista wa kiburi, leo nimekukumbuka
Nilikwisha kukariri, dakika umeshawaka
Ni binti ulo na siri, mtoto ukanibambika
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Halima mke wa mtu, ila nilikukoleza
Kamwe hukutaka katu, kabisa kunipoteza
Ulinipa vingi vitu, kwa kule kukukojo,,,,
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Wapi FATUMA chibonge, tipwa tipwa uteteme
Uliiruka senyenge, kisa mimi mwanaume
Kwa sasa upo Kijenge, nasikia una mume
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Mtoto wa mchungaji, Beatha sikusahau
Tulipokuwa Kimbiji, enzi zetu za pilau
Mwisho nakujisha uji, Muhuni kapanda dau
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Sikusahau Anita, uliye nizidi umri
Miaka kumi na sita, ila wewe ni hodari
Wanakwita mama Peter, au tena ma- Johari
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Penzi langu liliyumba, kwako dada Mwantumu
Kisa ni zangu KASUMBA, kwakweli sikulaumu
Ulilea yangu mimba, japo kigumu ugumu
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

Maisha hubadilika, ulipo leo si jana
Leo niliwakumbuka, mademu tulonyengana
Ilishapita miaka, basi hapa natuwama
Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo

By: Mzee wa Kasumba

jamani mie sio mshairi, bado najifunza. NAOMBA KUKOSOLEWA (MALENGA)
Mtoto anaendeleaje kwanza😂
 
Uuuuuwwwiii wewe NN lol,.tungetajiwa hadi ile loji ya kibaigwa😂

Potelea mbali....ngoja mimi niiweke waone tulipolia maraha yetu.

36467847-5D34-4C0F-8ACB-7A979C2408F5.jpeg
 
Tinna (Wa kwanza na uliniambukiza ugonjwa wa zinaa, barikiwa)

Janet (Yo tha baddest ma'am..ulinipenda nikaharibu mwenyewe, ulinifumania Mara mbili na hiyo ya pili ukaamua kuondoka mazima. Still sijapata mbadala wako)

Paskalia (kuna watu wanasema wamekutana na ma slay queen, wanatania hawajakutana na wewe)

Rhoida (Ulinipenda nikakufanya side chick, that love was real... Sorry)

Uria (sasa kwanini uliamua kuolewaa ukaniacha?)

Marry (1)(Rest in peace ma'am...bado naenda zile sehem tulikua tunaenda pamoja..siku hizi TAZARA pale wanakataza kukaa idle)

Prisca (Kuna watu wanadanga ila wewe ni konyoo, nimekunyooshea mikono)

Vaileth (We falaa Usingetoa mimba yangu ningekua na chalii mwenye miaka mitatu saiv)

Marry (2) (Asante kwa kunitunuku usichana wako, najua sikufanya makosa)

Oda (We mngoni unajuaa sana)

Regina (That p_ssy of yoz sijui uliweka asaliii??)

Zaituni (Wahuni walikua wanakuita Zaitobo, kweli ulijua kukitembezaa)

Moreen (Wazazi tuu hawakutaka uwe na Mimi, ila tulipendana sana)

Halima (Ukiacha kutokujitambua utakua mtoto mzuri sana)

Nitarudiii
Nimeishia kuhesabu kwenye 14. Uki-Update list utanitag mkuu.
 
Doh!
 
hatari
 
Back
Top Bottom