Nimewajibu CHADEMA mkutano wa Mbozi, tutaimaliza CHADEMA kwa mikono yetu

Status
Not open for further replies.
Wana Jf "MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA"
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa nimeongozana na Jemedali wa kisiasa comrade Mwigulu Nchemba,Juliana Shonza na viongozi wengine.

Wanambozi mmewajibu vijana wa CHADEMA na viongozi wao kuwa Mbozi ni ardhi ya watu waelewa na sio kitoweo cha wajinga.

Nimefanya mkutano kuwajibu wale wote wanaokesha mitandanoni kujifurahisha eti Mbozi hakuna CCM,eti Mbozi kuna CHADEMA. Mimi ndio nimeipeleka CHADEMA Mbozi,na kwa mikono yangu naiua CHADEMA Mbozi

"If u can just Join the game and feel the taste of Mwampamba"

Tumeshawaonesha CHADEMA kwamba CCM ni zaidi yao,hatuwezi kupambana na sisimizi kwenye uga wa siasa.

Juliana Shonza na mimi tutaitumikia CCM kwa nguvu zetu zote na kwaakili yetu yote tena kwa kujitolea.


Kilichonishangaza ni kuona sioni hata kija wa CHADEMA aliyesogelea,Niliishia kubebwa na kupandishwa jukwaani.siasa hatufanyi mitandaoni vijana wa chadema,Kukesha kwenye keyboard sio Field.
ID YA MPEPO(IMEVUMISHA UONGO WA WAZI KABISA KWAMBA MTELA MWAMPAMBA NIMESHUSHWA JUKWAANI.NK)
H
I
I ID siku zote imekuwa ikitumika kuchafua jina langu,na mhusika wake namjua na ndiye aliyezunguka mikoani nilipokuwa chadema kwenda kunichafua,na alifika mbozi kutengeneza mazingira ya kuandaa vijana walete vurugu lakini wanambozi si kitoweo cha wajinga wamemtosa na nidhani yeye ndiye aliletewa vurugu.
Imemuuma sana kuona umati ule,Namna mkutano ulivyokuwa mkubwa.Pole sana Mpepo,mwambie dr.slaa mimi naitwa Mtela allam mwampamba jiwe walilowakataa waashi sasa jiwe kuu la PEMBENI.
Nakanusha kabisa kabisa hakuna vurugu wala dalili yoyote ile ya uwepo wa hizo vurugu walizozizoea chadema.mkutano ulimalizika kwa amani kabisa,sasa nipo Mkoa wa pwani tayari kwa kazi ya kichama.
CHINI
Baba mzazi mzee Mwampamba akirudisha takataka za chadema mbele ya Jemedari Mwigulu Nchemba nyumbani mlowo.

Mzee Allam Mwampamba akiwa ndiye muasisi wa vyama vingi wilayani mbozi ameamua kauchana na siasa za majungu,kinafiki za chadema na kujiunga na CCM.Amesema ni bora viya ya kupambana na mafisadi kuliko vita ya ukabila,umwagaji damu na ukdanda ndani ya hivi vyama vya upinzani(CDM0





NAKUONEAGA HURUMA SANA JOMBA. TANGU MMEFUKUZWA CHADEMA HUNA SENTISI INAYOTOKA MDOMONI BILA KUITAJA CHADEMA AU SLAA..
My challenge to you kama kweli ni mwanasiasa uliyekomaa na ambaye unajiamini kwamba unaweza kusimama peke yako bila kuegemea wanaume wenzako, acha kuitaja chadema au slaaa, tangaza sera za chama cha mapinduzi. After all what is CHADEMA kwa chama kikubwa kama chama cha mapinduzi??!!
Mnakidhalisha chama cha mapinduzi kwa kukaa na kuimba nyimbo za chadema chadema chadema chadema, i dought nyie wawili na shozya kama mnaijua ilani ya chama cha mapinduzi.
Bahati mbaya mentor mulie nae Mh Mwigulu ni boya jingine na janga kwa CCM. Wewe saizi yako ni ukatibu kata wa chama.. sio leadership skills zozote kutoka kwako, kwa shozya wala kwa nchemba.. Siku zenu ndani ya CCM zinahesabika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom