ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,564
- Thread starter
- #21
Mbaya zaidi nimemsikia RC anadai watajenga mzunguko na underpass.Kama wanataka kujenga mzunguko pale bora waache mataa tuu.Pale inatakiwa wajenge mini flyover magari yanayotoka KABWE,MWANJELWA kuelekea uelekeo wa Tunduma yapita moja kwa moja bila kizuizi kabisa.Na pale kabwe pajengwe kivuko cha waenda kwa miguu kikubwa kama cha Kirumba mwanza au kama cha Buguruni ili flow ya magari iende vizuri
Kiukweli naunga mkono hoja,huwezi weka mzunguko pale sehemu ambayo ndio sura ya Jiji,ni upuuzi.
Min flaiova simple kabisa kama hizi hapa Zina cost kiasi gani?