Nimewadharau sana Tanroads. Badala ya kujenga simple flyover Mafiati Junction mnajenga roundabout? Mnaharibu taswira ya Jiji la Mbeya

Kama wanataka kujenga mzunguko pale bora waache mataa tuu.Pale inatakiwa wajenge mini flyover magari yanayotoka KABWE,MWANJELWA kuelekea uelekeo wa Tunduma yapita moja kwa moja bila kizuizi kabisa.Na pale kabwe pajengwe kivuko cha waenda kwa miguu kikubwa kama cha Kirumba mwanza au kama cha Buguruni ili flow ya magari iende vizuri
Mbaya zaidi nimemsikia RC anadai watajenga mzunguko na underpass.

Kiukweli naunga mkono hoja,huwezi weka mzunguko pale sehemu ambayo ndio sura ya Jiji,ni upuuzi.

Min flaiova simple kabisa kama hizi hapa Zina cost kiasi gani?
images - 2024-02-01T213552.265.jpeg

Hiyo barabara ya Mbeya story nyingi sana za kuipamba kutoka kwako, tulia tu ikishaanza kujengwa ndio utuletee kelele zako.
Ujenzi unaendelea siku nyingi sana Mzee,Toka huko Burundi uwe unasafiri.

Sio tuu hiyo Bali hata ya Igawa-Tunduma ujenzi wa Kambi 4 sehemu tofauti unaendelea as we speak.
 
Inatosha kwa sasa, hizo unazoziita simple una ufahamu wowote wa gharama zake, au kisa umeona tuu ime kaa simple unahusisha na cheap?
 
Tanroad wanafanya kitu kwa ajili ya leo tu wala sio kesho sijawahi kuwaamini hao jamaa na sishangai wao kuendelea kufanya madudu wapo hovyo kupita maelezo...
Wana akili fupi sana watu weusi.Hapo TanRoads inatakiwa aje CEO wa Nje na Kuajiri Wataalamu hasa wa Vitengo vikuu iwe ni Kwa wote sio wa ndani tuu maana na ushamba/kukosa exposure kunachangia.

Ona hapa wenzetu walivyofupiga BAO, Gulu Uganda 👇👇

View: https://twitter.com/AfricaViewFacts/status/1662033607043547141?t=BHrmtzVmkinSz_vnrMW9eg&s=19
20240202_071945.jpg
20240202_071756.jpg
20240202_071942.jpg
20240202_071949.jpg
 
Inatosha kwa sasa, hizo unazoziita simple una ufahamu wowote wa gharama zake, au kisa umeona tuu ime kaa simple unahusisha na cheap?
Toa upumbavu wako hapa, gharama ziko Tanzania pekee ila Kwa jirani hakuna au?

Uwe na akili za kuwaza kesho na kujitambua sio kufanya jambo ilimradi Bora liende.

Ndio maana Kile kimsalaba Cha pale Ubungo kimejengwa hovyo Kwa gharama kubwa kushinda Interchange ya level 3 Kali ya Ghana,hii hapa 👇
Screenshot_20240202-072415.jpg

Tatizo sio gharama ila ni kuwa na watu wasio na akili kama wewe unaetetea ujinga wa TanRoads
 
Hzo bajaji mbili tatu na vitz pamoja na V8 la spika ndo mnataka flyover , nyie viazi kweli
Sio kosa lako ila umejaza upumbavu kichwani.
Hii sio flaiova ni simple structure ambayo inaleta maana kwenye Jiji 👇👇
20240202_071227.jpg
 
Toa upumbavu wako hapa, gharama ziko Tanzania pekee ila Kwa jirani hakuna au?

Uwe na akili za kuwaza kesho na kujitambua sio kufanya jambo ilimradi Bora liende.

Ndio maana Kile kimsalaba Cha pale Ubungo kimejengwa hovyo Kwa gharama kubwa kushinda Interchange ya level 4 Kali ya Ghana,hii hapa 👇
View attachment 2891367

Tatizo sio gharama ila ni kuwa na watu wasio na akili kama wewe unaetetea ujinga wa TanRoads
Mzee vipi? Huwezi kujenga hoja matusi? Hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiria unapoanzia na kuishia.

Nije kwenye hoja, kama tatizo siyo GHARAMA, kwanini umehusisha wazo lako na cheap option?
 
kwanza kabisa mbeya Haina hadhi ya jiji ni uchafu tu umejaa pale,Tanzania jiji ni Moja tu nalo ni dar basi, huko kwingine ni ubabaishaji tu.
 
Usi
Mzee vipi? Huwezi kujenga hoja matusi? Hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiria unapoanzia na kuishia.

Nije kwenye hoja, kama tatizo siyo GHARAMA, kwanini umehusisha wazo lako na cheap option?
Usimpinge jamaa ana hoja sio kila kitu mnawaza kupinga tuu huko Mbeya sasa hivi Mlima Mbalizi magari yanasubiriana kupita kwa sababu ya foleni wanakokwenda hata hapo mafiati patakua na foleni watakuja na mbinu mbadala hivyo vitu vya kuchimba na kujenga bara bara juu na chini ni wa gharama za kawaida kama wameamua kujenga mkuu na mifano katoa kwenye Nchi zenye kipato sawa na zetu ajatoa mfano wa Nchi zilizoendelea ndio nilipomuelewa mimi..
 
Unaleta ujinga kwenye mambo serious,you better shut up your dirty mouth.

Ndio maana nimekuuliza hizo gharama ni Tzn tuu? Nikakuonesha interchange ya Ghana nzuri Kwa design na quality imejengwa Kwa gharama nafuu kushinda msalaba wenu wa pale Ubungo.

Sababu ya yote ni mawazo ya kijinga kama Yako.

Back kwenye topic,Mbeya imekuwa inachekwa Kwa miaka Mingi Kwa kukosa miundombinu as if ni uzembe wa watu wa Mbeya.

Imekuja prime project ya njia 4 yet hao TanRoads wanataka kufanya ujinga ule ule wa Ubungo na wa miaka Mingi.

Junction ya Mafiati ndio Cente ya Jiji panatakiwa kuwa na structure nzuri inayopendeza na ku serve mahitaji ya Sasa na miaka 20 ijayo.

Kule Airport inajengwa Stand kuu ya Mkoa na Stand ndogo za daladala, automatically Barabara itakuwa busy.Kuja junction ya Kwenda City Centre na the rest ni Tanzam ambayo inapita kwenye CBD ya Mwanjelwa.

Sasa eneo la hivyo unawekaje Mzunguko badala ya flaiova rahisi ambazo ni cost effective? Poor design and typical Tanzanian low thinking.

Mambo hayo ya kijinga ndio yamesababisha hata Barabara ya Njia 8 Dar kuwa na review za design Kila siku na kuongeza cost wakati wangeweza kufanya design nzuri kuliko kuunga unga,yote hiyo ikiwezekana Kwa sababu watu wakiwaoonda TanRoads na kushauri.

Kwa kesi ya Mbeya kutokana na kelele wamebadili design kidogo kwenye Baadhi ya maeneo ambayo wakitaka waweke midaraja Ile ya kishamba ya kuvusha watu Juu Kwa Juu na Sasa wanasema wataweka underpass.

Underpass hazitoshi,pale Mafyati ambako ndio sura ya Jiji tunataka simple min flaiover with underpass ,,Mzunguko wakaweke Uyole,Meta na Songwe Airport 👇👇
20240202_071227.jpg
images - 2024-02-01T213552.265.jpeg

Usi

Usimpinge jamaa ana hoja sio kila kitu mnawaza kupinga tuu huko Mbeya sasa hivi Mlima Mbalizi magari yanasubiriana kupita kwa sababu ya foleni wanakokwenda hata hapo mafiati patakua na foleni watakuja na mbinu mbadala hivyo vitu vya kuchimba na kujenga bara bara juu na chini ni wa gharama za kawaida kama wameamua kujenga mkuu na mifano katoa kwenye Nchi zenye kipato sawa na zetu ajatoa mfano wa Nchi zilizoendelea ndio nilipomuelewa mimi..
Hayo Majitu ndio Kila siku kutwa kucha kuponda Mbeya wakati wasababishaji na wanaoharibu Mji Wetu ni watu wa Serikali Kwa mipango ya hovyo na kupuuza Mji Wetu.

Mbeya sio tuu tunadai Bali tuna Haki Kwa sababu ni Kati ya Mikoa 3 pekee Tanzania ambayo inachangia Pato la Taifa Kwa zaidi ya Trilioni 10/year.

But pesa zetu zinasombwa na kupelekwa elsewhere huku wanatucheka kwamba sisi ni nyumbu au? Ifike mahala huu ujinga ukomeshwe.

Angalia Baadhi ya Mikoa inavyopendelewa Kwa pesa za watu wa Mbeya 👇👇
Screenshot_20240201-132234.jpg
 
Unaleta ujinga kwenye mambo serious,you better shut up your dirty mouth.

Ndio maana nimekuuliza hizo gharama ni Tzn tuu? Nikakuonesha interchange ya Ghana nzuri Kwa design na quality imejengwa Kwa gharama nafuu kushinda msalaba wenu wa pale Ubungo.

Sababu ya yote ni mawazo ya kijinga kama Yako.

Back kwenye topic,Mbeya imekuwa inachekwa Kwa miaka Mingi Kwa kukosa miundombinu as if ni uzembe wa watu wa Mbeya.

Imekuja prime project ya njia 4 yet hao TanRoads wanataka kufanya ujinga ule ule wa Ubungo na wa miaka Mingi.

Junction ya Mafiati ndio Cente ya Jiji panatakiwa kuwa na structure nzuri inayopendeza na ku serve mahitaji ya Sasa na miaka 20 ijayo.

Kule Airport inajengwa Stand kuu ya Mkoa na Stand ndogo za daladala, automatically Barabara itakuwa busy.Kuja junction ya Kwenda City Centre na the rest ni Tanzam ambayo inapita kwenye CBD ya Mwanjelwa.

Sasa eneo la hivyo unawekaje Mzunguko badala ya flaiova rahisi ambazo ni cost effective? Poor design and typical Tanzanian low thinking.

Mambo hayo ya kijinga ndio yamesababisha hata Barabara ya Njia 8 Dar kuwa na review za design Kila siku na kuongeza cost wakati wangeweza kufanya design nzuri kuliko kuunga unga,yote hiyo ikiwezekana Kwa sababu watu wakiwaoonda TanRoads na kushauri.

Kwa kesi ya Mbeya kutokana na kelele wamebadili design kidogo kwenye Baadhi ya maeneo ambayo wakitaka waweke midaraja Ile ya kishamba ya kuvusha watu Juu Kwa Juu na Sasa wanasema wataweka underpass.

Underpass hazitoshi,pale Mafyati ambako ndio sura ya Jiji tunataka simple min flaiover with underpass ,,Mzunguko wakaweke Uyole,Meta na Songwe Airport 👇👇View attachment 2891408View attachment 2891409
View attachment 2891410
Mkuu una hoja sana na Uzi huu upo makini hasa kwa wahusika nachokuomba usiwatukane watu maana pia wengi wetu Exposure ni 0 kabisaa ndio maana utapingwa kwa vitu vya msingi na Mbeya ni mkoa watu wake wamelala sana ndio maana bara bara muhimu kama hiyo wanaichezea wanavyotaka hata kujenga pia wamechelewa wakati ni bara bara Kuu ya Tanzania/Zambia..
 
Angalizo limezingatiwa japo wanakera.
 
Angalizo limezingatiwa japo wanakera.
Poa kamanda endelea kuipambania Mbeya maana imesahaulika sana pamoja na kwamba wanatoka watu wenye nafasi kubwa Serikalini mara ya mwisho Mzalendo wa Mkoa alikua Prof Mwandosya aliepambania huo Uwanja wa Songwe ujengwe hapo cha ajabu alitumwa muhuni mmoja mtoto wa Mwang'onda apambane nae atolewe Prof kwenye NEC ili kuondoa upinzani wa wanaotaka maendeleo ya kweli ya huo Mkoa...
 
Unaleta ujinga kwenye mambo serious,you better shut up your dirty mouth.

Ndio maana nimekuuliza hizo gharama ni Tzn tuu? Nikakuonesha interchange ya Ghana nzuri Kwa design na quality imejengwa Kwa gharama nafuu kushinda msalaba wenu wa pale Ubungo.

Sababu ya yote ni mawazo ya kijinga kama Yako.

Back kwenye topic,Mbeya imekuwa inachekwa Kwa miaka Mingi Kwa kukosa miundombinu as if ni uzembe wa watu wa Mbeya.

Imekuja prime project ya njia 4 yet hao TanRoads wanataka kufanya ujinga ule ule wa Ubungo na wa miaka Mingi.

Junction ya Mafiati ndio Cente ya Jiji panatakiwa kuwa na structure nzuri inayopendeza na ku serve mahitaji ya Sasa na miaka 20 ijayo.

Kule Airport inajengwa Stand kuu ya Mkoa na Stand ndogo za daladala, automatically Barabara itakuwa busy.Kuja junction ya Kwenda City Centre na the rest ni Tanzam ambayo inapita kwenye CBD ya Mwanjelwa.

Sasa eneo la hivyo unawekaje Mzunguko badala ya flaiova rahisi ambazo ni cost effective? Poor design and typical Tanzanian low thinking.

Mambo hayo ya kijinga ndio yamesababisha hata Barabara ya Njia 8 Dar kuwa na review za design Kila siku na kuongeza cost wakati wangeweza kufanya design nzuri kuliko kuunga unga,yote hiyo ikiwezekana Kwa sababu watu wakiwaoonda TanRoads na kushauri.

Kwa kesi ya Mbeya kutokana na kelele wamebadili design kidogo kwenye Baadhi ya maeneo ambayo wakitaka waweke midaraja Ile ya kishamba ya kuvusha watu Juu Kwa Juu na Sasa wanasema wataweka underpass.

Underpass hazitoshi,pale Mafyati ambako ndio sura ya Jiji tunataka simple min flaiover with underpass ,,Mzunguko wakaweke Uyole,Meta na Songwe Airport 👇👇View attachment 2891408View attachment 2891409
View attachment 2891410
Hoja bila matusi inawezekana sana ila kwa kuwa umeamua kwenda na matusi basi endelea hivyo...na tuache hoja

Binafsi nimeamua kukudharau, inaonekana unatumia your secondary brain located in your rectum to think, unfortunately due to repeatedly disturbances caused by frequent anal penentration you slowly loosing your ability to be smart, analysing facts, think straight and understand people tend to have different perspectives, even if you have a point, it will come out with some pieces of shit (matusi).

Try using the one in your head.
 
Dr Nchimbi.-Chadema mumeamua kutumia miguu kufikiri badala ya kichwa 😁😁

Usihamishe magoli,hoja ni ya msingi au sio ya msingi?

Unaona hapa panafaa kuweka round about?👇👇
Screenshot_20240202-123220.jpg
 
Back
Top Bottom