Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Mbele kwa Mbelee Tumechukua Tunaweka Waaaaaa kwanza huyu mdada anatafuta Kiki tu.hapa anataka aone responze ikoje Story yenyewe Katunga
Nitunge story ili iweje!!!! Ok nashukuru wako wanaonishauri vzr na nafarijika ukiona nimelike comment yako jua nimeuoenda ushauri wako na umenifariji pia nsufanyia kazi. Na ww tunga yakwako uweke hapa tukushauri ili utafute kick!!!! Nipisheee so lazima kukoment
 
haha safi eeh ufanyie kaz
 
ila wanaume kama choo yaani ukigoma kuingia leo utaingia kesho....
 
KIKUBWA UZIMA MIAKA 2 TU UTARUDI KUTUSIFIA WANAUME


kosa la yule sio la mwingine
 
Nipm tulee pamoja
 
Pole mamy, kosa lako kubwa ni kumwamini na kubeba mimba bila ndoa takatifu, hawa viumbe wana sura nyingi sana jamani sio wa kuwaamini sana. We usijali hajakuachia kilema ni mtoto na ni baraka na faraja yako. Lea mwanao mama kijacho acha mawazo sio mazuri kwako kipindi hiki ukiwa na kiumbe ndani yako.
 
Pole sana
 
Kuzaa makubaliano, sijuwi lini wasichana na wanawake wataelewa hili.
 
Mtoto ni mtoto tu,kubaliana na jinsia yoyote ile,tuliza mawazo.
 
Wengine wamezaa watoto zaidi ya 5, na kila mmoja ana baba yake; na wote walitendwa na kila mwanaume waliozaa nae kama hilo la kwako, na zaidi. Sasa wewe, mimba tuu, hata mtoto bado, eti umechukia wanaume. Subiri ubebe nyingine na ngoma juu ndo uwachukie. Hapo mbona bado sana!!

Tatizo, wewe hukujua kutofautisha kupenda na kutamaniwa.
 
Ubinafsi tu.

Ulidhani kama wewe unahitaji na mtoto na mwenzio atakuwa nao?

Siku nyingine ukifanya ngono hakikisha nyote mtakubaliana na matokeo yatakayotokana na ngono.

Njia pekee uliyopaswa kutumia kufanya huu ubinafsi ni kuhakikisha umeolewa. Maana ndoa hutoa maamuzi kuwa lolote mtakalolifanya basi mmekubaliana nalo.

Mwanamke ndie mwamuzi wa mwisho kwenye suala la uzazi.

Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…