Asante kwa ushauri sitokaa nifanye kosa la kwenda ustawi was jamii sina shida ya hela Nina kipato cha kunitosha kumlea mwanangu nilichohitaji kwake ni care tuu na kuwa responsible father kwa kuwa hayuko tayari basi asimsogelee mtoto hata atakapozaliwaVumilia na mwombe Mungu atakusaidia! mshitaki ustawi wa jamii watu tunatafuta watoto yy anapotezea! mkitoa mimba Zao wanalalama! vumilia unaweza kutuletea la Magufuli au Kasamiah! gud wish u! pray everything God can judgment! hata kazi zake zitaharibika kwa machozi udondoshayo!
Na lazima mnyimwe maana hata mkipewa huwa wengi wenu Hanna shukuraniKosa la mmoja unataka kutunyimia wote
jiulize we umefanya Mara ngapi nipisheeee[/QUOTE]Kosa lako kuanza mapenzi tena bila kondom kabla ya ndoa, majuto mjukuu
Starehe ule wewe, halafu mimi unichukie eboo[/QUO hahahaaaaa
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
KomaaaaaaMtolee copy yake atakutafuta tu
Hahaaaaa unaweza kunipa ushauri gani labda!!!!! Nguvu za gizaaa.Hata ukituchukia haitusaidii mana hatuli kwako..ungeomba ushauri ingekuwa busara zaidi
Umeona eeeee!!!Huyo ni mvulana siyo mwanaume, mwanaume wa kweli hakimbii damu yake.
Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!
Nilifanya hili nikiwa na akili timamu and I was ready for that so sioni tatizo u was free with ma soul since I was need a kid. Lisikupe shida hilo nikitaka tuu my kid awe na malezi ya pande zote!!!!!Kwanini nyie wanawake hamfungi miguu yenu mpaka mkajua ni aina gani ya mwanaume unaye husiana. Yani condom huko utafikiri zina thamani ya zahabu. Hili umejisababishia mwenyewe hamna aliyekulazimisha ulale naye. Wanaume wote kwani haukujua wanataka ngono alafu wanakuacha. Yani hii ndiyo biologia ya mwanaume ni kutaka kusambaza mbegu yao tu. Nyie wasichana wakitanzania bado hamjaelewa kwamba mwanaume ukimpa anachotaka bila mkataba wa ndoa atakuacha. Hili liwe mfano kwa wenzako. Aidha mtumie kinga au mfunge miguu yenu.
Kwahiyo unamchukia hadi Mungu/Yesu maana nae ni mwanaume.Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara chache hadi nilipata hii mimba. Tuliwasiliana kwa cm hadi mimba ikiwa na wiki 6 mwenzangu akakata mawasiliano hadi leo ina miezi nane. Nimehangaika kuwasilianà na watu waje wa karibu wananiambia hata wakiongea nae hakuna anachiwaambia akiwemo hadi boss wake maana aliyajua mahusiano yetu vzr tuu akaniambia labda anaogopa majukumu. Nimshukuru tuu Mungu kwani tangu mimba hii sijawahi ugua hata mafua naendelea vrz ba maisha yangu nalea peke yangu. Ila napata shida moja ya kisaikolojia nimewachukia wanaume natamani nizae mtoto wa kike nineenda kucheck utrasound kwa lengo la kuangalia jinsia ikabidi nighairi thou nikuwa nimeshalipia maana nawaza nikiambiwa ni wa kiume nitakuwa dissapointed. Nimehamua tuu hata nikizaa mtoto nimpe jina la ukoo wetu maana baba yake haangaiki na chochote kwanza ndio kaniblock sehemu zote za mawasiliano. Kama yupo mwanasaikolojia naomba anishauri tuu maana niko desparate nimechukia mnoooo!!!!!