Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

Nafikir mleta uzi hawez kukaa miaka 9 bila kuliwa ewe mwanamke epuka kutukana wanaume
 
Unamvulia nguo mwanaume kwani alikuoa? Mbona huwa hamuelewi kila siku?
 
Kuna wakati wanawake akili zao zinawatuma kwamba akimzalia mtu, basi ameshaweka msingi wa mahusiano. Hawajui kwamba wengine ni viruka njia, nyama wanayotafuta wakishaila, biashara kwisha. Labda, japo ni mara moja moja sana, mwanaume akikuvizia na kukupa ujauzito, ndo unaweza ukawa na asilimia 20 kwamba labda anaweza akadumu na wewe.
 
Subiria uzae utajua muelekeo kwani kuna mimba nyingine huleta audio au ugomvi na mwenza.Ukishajifungua sijui mwezi wa ngapi uje utuambie hali ikoje kimahusiano na umeamuaje?
 
H
Hate the player, not the game.
 
Unaonekana una umri mdogo,na mbaya zaidi ukadhani mtu wa umri wako tayari ni MWANAUME na kumbe bado ni mtoto wa kiume,kwa Dunia ya sasa mume anapaswa kukuzidi miaka isiyopungua 20, sasa ukisema unawachukia WANAUME kweni umepewa mimba na WANAUME wote mpaka BABA yako? Wewe nywea kikombe chako kwa hekima na upole na usijaribu kutuunganisha wote kama watoto wa kiume na kumbe sisi wengine ni WANAUME
 
Mnapataga wapi wanaume wa namna hiyo..
Kama mwanamke angalia ni nani wa kumbebea mimba sio una beba beba tuu..
 
Kwanini ufanye tendo la ndoa bila kuwa na ndoa.
Wote mlikosea Japo yeye kakosea zaidi.
Mwanaume anaye kupenda anakuoa ndio mnazaa.
Ukiwa na Ndoa akikuacha ata Familia ndugu jamaa na marafiki watashuhulika.
Hayo ni mapato ya Uasherati tulia u
 

Ujinga tu
 
Mfikilie Baba yako kwanza kabla ya hicho kivulana chako na ushenzi wa kichwani mwako
Nani alokwambia ubebe mimba kabla ya kuolewa

Huo ni upumbafua wako pata malipo yako na utazaa mtoto wa kiume

Kutuchukia wanaume siyo suruhi subiri uzae ulee tukumwagie tena kitumbo kiruke huko

Unacheza na dume aka bwambatau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…