Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,755
- 9,706
Haichekeshi.Leo nimeingia mahala fulani kuna mbu wengi sana, sijaweka na wala situmiagi neti wala kupuliza sumu.
Nimetumia mbinu ya kisaikolojia kupambana nao, huwezi amini mkuu yani wanalia kwa huruma hawaamini macho yao kmmk zao.
kunywa maji usingizi utakujaUsiku wa balaa
Usingizi umekata nahesabu kenchi tu hapa na kutofautisha milio ya mbu jike na dume
NaamShagembe unazingua sasa
Unalala stoo
Awali ya yote nipende kukujuza kwamba bandari ni zangu sio zenu, nimezinunua mimi.Bandari zetu zinaendeleaje kwa ufanisi wako uliokuja nao, tuambie kwanza ndio uje na stori za mbu kushindwa kukung'ata, isije ikawa umekutana na mbu wanywa utamu wa maua
MlinziShagembe unazingua sasa
Unalala stoo
Huku ukikagua kebo moja baada ya jingine km lipo sawa au linahitilafuUsiku wa balaa
Usingizi umekata nahesabu kenchi tu hapa na kutofautisha milio ya mbu jike na dume
choko unawaza kufirwa tu muda woteHuku ukikagua kebo moja baada ya jingine km lipo sawa au linahitilafu