Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Nimekusamehe halafu unamwacha taratibu haha...hii ndio kanuni yangu.Why unafanya maamuzi ya hasira kama vile dunia inaisha kesho?..
Ungeweza kabisa kumwambia ukweli na kumuacha ateseke na guilty ..
Ukamuacha akuombe msamaha huku unavuta
Pumzi ...unajipa nafasi ya kutakafakari..
Na ikiwezekana unamwambia umemsamehe
Unapisha upepo na kumuacha taratibu ..
Hadi siku ya siku unamwambia huku moyo umeshakubali...
Haraka haraka mwisho unajiumiza mwenyewe..
Dunia ipo Tu...usikurupuke
Kafanya maamuz wakati ana hasira, zikija kumuisha ndio ataona kakoseaWhy unafanya maamuzi ya hasira kama vile dunia inaisha kesho?..
Ungeweza kabisa kumwambia ukweli na kumuacha ateseke na guilty ..
Ukamuacha akuombe msamaha huku unavuta
Pumzi ...unajipa nafasi ya kutakafakari..
Na ikiwezekana unamwambia umemsamehe
Unapisha upepo na kumuacha taratibu ..
Hadi siku ya siku unamwambia huku moyo umeshakubali...
Haraka haraka mwisho unajiumiza mwenyewe..
Dunia ipo Tu...usikurupuke
Nimemwambia ndio maana kitendo amekifanya leo mchana na ushahidi nnaoPole sana.
Vipi umeshamwambia au bado??
Kama hukiwahi kumsaliti muache ila kama na wewe ni kiruka njia endeleeni kuchezeana tu
Nnamaanisha kusitisha mahusiano kaka[emoji22]Huo uhusiano umeuvunjia nini!? Panga, nyundo, shoka, nondo...
Au umetumia ugoko? [emoji23]
Asiee pole sana. Nitaacha kua na manzi zaidi ya mmoja nikioa ila hapa kabla kua na akiba ni muhimu, wanatongozwa na wengi hawa kukucheat ni ishu ya dakika tu .Nimemwambia ndio maana kitendo amekifanya leo mchana na ushahidi nnao
Huyu rafiki angu hakua anamjua ila aliponishirikisha nikamwambia huyu ni girl wangu ila endelea tu utakua unanijulisha mtapofikia na kweli leo amemla mchanaKwanza hapo hukuwa na manzi na pia huna rafiki. Wote ni ma snitch tu wateme kwa pamoja wakafie mbele.
Umechukua maamuzi ya kiume ila hapo unaposema kuwa unapitia wakati mgumu ndio unazingua. Fanya njaro zako acha kumuwaza huyo wapo wengi sana.
Kikubwa utakuwa umepata funzo fulani.