Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 554
- 161
1. Usioe kwasababu ya sura
2. Jua familia yake ikiwezekana
3. Chunguza mahusiano yake na ndugu zake, jirani na marafiki kama ni mazuri au la
4. Usibabike kupita kiasi kwa kumpa zawadi nyingi, vocha etc
5. Chunguza uwezo wake wa ujasiriamali
6. Chunguza kama mambo ya kiroho anayaona ni ya muhimu ktk maisha yake ya kila siku na anajitahidi kuyaishi
7. Asiwe mpenda ofa, awe tayari kutoa zawadi.
8. Awe flexible, aliye tayari kuishi maisha ya kawaida.
hakika.,