Nimevumilia nimeshindwa, bora nioe!

Nimevumilia nimeshindwa, bora nioe!

Oa mwanamke unaempenda,asikudanganye mtu hata Mungu naamini anaelewa hapa,tena oa mrembo hasaa..and pray abt it,omba Mungu akuonyeshe signs
 
Ze keke,
Ukweli ni kwamba Mwanamke yeyote ambaye utaamua kuwa nae lazima tuu kwa kiasi fulani huko maishani atakuumiza hivyo usiogope kuumia kwa kuwa kuumia ni lazima. unachopaswa kufanya ni kutafuta mwanamke ambaye anastahili kwa wewe kuumia juu yake.

Point yako nmeipenda,ts so tru,MAHUSIANO YOYOTE YANA MATATIZO,no angels here,tunajaribu kuyapunguza tu
walu upate mrembo hv,msomi,mwelewa ,anajua kupika,good in bed nk,
sio unapata mtu hataa cha kumsifia hukioni,khah wa nini uyo
 
Hii nimeipenda, bt natamani msomi lakini wasomi, ntawaweza kwa hile tabia yao ya kujilinganisha, mwisho wa siku ni vurugu ndani. I want a woman who will make me feel am a complete man.
 
Ukisha mpata ununue na vidonge vya presha. Karibu sana kwenye majanga.
 
Habari za usiku humu jamnvini, baada ya kuvumilia kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali mengi humu jamvini kuhusu mapenzi, sasa nachukua uhamuzi wa kuoa! Tatizo mke mwema ntamgundua vipi? Maana wanawake wakijua unataka kuoa hawaishi kufake .Aisha yao!
Hongera kwa uamuzi. Kila la kheri.
 
ushauri wa mimitungi umetulia, tatizo wengi hukukuzia kwanza mrembo kwa tamaa za kimwili then ndo uchunguzi unafanyika kujua kama anafaa kuwa mke au vipi. (ingekuwa wanakwenda kinyume chache ingekuwa poa zaidi kwani once unapokuwa karibu nae unakuwa una test vile viashiria vya mwanzo kabisa ambavyo vilikufanya umtokee
wanaume wengi wangetumia hii njia sidhani kama kungekuwa na migogoro ya ndoa mara kwa mara... Maumbile na mwonekano ndo umepewa kipao mbele huku wakijidanganya tabia itabadilika lah hasha
 
wanaume wengi wangetumia hii njia sidhani kama kungekuwa na migogoro ya ndoa mara kwa mara... Maumbile na mwonekano ndo umepewa kipao mbele huku wakijidanganya tabia itabadilika lah hasha

Ntumie picha yako!
 
Ntumie picha yako!

indexgggg.jpg hiyo hapo
 
Aaaaaaaaaah wapi! Oa mtu ambae una hisia nae BAAAAAAAAAAASS! Kama huna hisia na mtu hata awe na tabia gani utamchoka siku 2. USICHAGUE MKE KWA WOGA WA MAISHA.

Note:usione kwa woga wa maisha...thnx lara
 
angalia vifuatavyo....
1. Dini yake, je ni mfia dini, isiwe kiviile
2. familia yako ikoje, suala la heshima na nidhamu, magonjwa nk.
3. angalia kipato chake pia elimu

Hiyo #2 hasa historia ya magonjwa :thumbup: plus zile nane za mchangiaji wa mwanzo
 
Back
Top Bottom