spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Kwa muda wa wiki mbili sasa kila ikifika saa sita usiku kuna mende wadogo wanatokea jikoni na sebuleni lakini baada ya saa 12 asubuhi wanapotea. Nimeweka dawa ya chaki na nimejitahidi kuwapulizia dawa ya mende usiku lakini hawapungui. Naomba msaada members ni dawa gani inawamaliza hawa wadudu.