Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,388 Dec 28, 2022 #141 manndungu said: Kumbe maji moto ni dawa mzuri Click to expand... Ila shughuli yake si ya kitoto, kingine yanawamaliza kunguni kutegemea na nyumba ilivyo kama kuna nyufa, hamna dari, nk hapo ni kutafuta dawa tu
manndungu said: Kumbe maji moto ni dawa mzuri Click to expand... Ila shughuli yake si ya kitoto, kingine yanawamaliza kunguni kutegemea na nyumba ilivyo kama kuna nyufa, hamna dari, nk hapo ni kutafuta dawa tu
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,164 Reaction score 43,859 Dec 28, 2022 #142 manndungu said: Kumbe maji moto ni dawa mzuri Click to expand... Yani hizo za kununua hazifiki kunakotakiwaaa kuna penyo wanajificha ilaa maji ya Motoo kibokoo yani wataisha wotee...!
manndungu said: Kumbe maji moto ni dawa mzuri Click to expand... Yani hizo za kununua hazifiki kunakotakiwaaa kuna penyo wanajificha ilaa maji ya Motoo kibokoo yani wataisha wotee...!
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,895 Reaction score 36,308 Feb 3, 2024 #143 ksksk said: Pia kuna ile ya kumix sabun ya unga na mafuta ya taa na chumvi laini japo mi bnafsi sijawahi itumia hiyo nilitumia diazon hiyo tatzo likaisha nasi Click to expand... Hiyo diazon inapatika kwenye maduka gani?
ksksk said: Pia kuna ile ya kumix sabun ya unga na mafuta ya taa na chumvi laini japo mi bnafsi sijawahi itumia hiyo nilitumia diazon hiyo tatzo likaisha nasi Click to expand... Hiyo diazon inapatika kwenye maduka gani?
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 5,251 Reaction score 3,180 Feb 3, 2024 #144 Hilo nalo mkalitizame
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 5,251 Reaction score 3,180 Feb 3, 2024 #145 HISTAMINE said: Kuna basi flani (***) la Mbeya - Mwanza, ikifika mida ya usiku mnasafiri linaibuka jeshi la viroboto+kunguni, basi utasikia tu abiria wanajipiga makofi ya miguuni, migongoni.. Click to expand... mabasi ya Kanda ya ziwa Yana hao wadudu kibao
HISTAMINE said: Kuna basi flani (***) la Mbeya - Mwanza, ikifika mida ya usiku mnasafiri linaibuka jeshi la viroboto+kunguni, basi utasikia tu abiria wanajipiga makofi ya miguuni, migongoni.. Click to expand... mabasi ya Kanda ya ziwa Yana hao wadudu kibao
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,183 Reaction score 5,610 Feb 3, 2024 #146 Lavit said: Hiyo diazon inapatika kwenye maduka gani? Click to expand... Duka la dawa za mifugo
Amicus Curiae JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 5,352 Reaction score 7,662 Feb 3, 2024 #147 Ndahani said: Nimezoea kusikia watu wamevamiwa na majambazi. Kumbe kunguni nao wanavamia watu? Hata wasafi Click to expand...
Ndahani said: Nimezoea kusikia watu wamevamiwa na majambazi. Kumbe kunguni nao wanavamia watu? Hata wasafi Click to expand...
choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,289 Reaction score 4,087 Feb 3, 2024 #148 Jeshi la Ala hilo