macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,221
- 60,275
Kupigana na kunguni inatakiwa ujue makazi na mazalio yao kwanza. Kunguni wanapenda kujificha kwenye kuta zenye nyufa/matundu/upenyo, Kona za kitanda na ndani ya godoro na sehemu zozote zenye cracks na pia nguo, matandiko na hata viti na sofa. Kwa kifupi unatakiwa utoe vitu vyote nje, unyunyizie dawa na ndani na hasa kwenye kona na nyufa. Ikiwezekana mwaga maji ya moto mkali kwenye hizo sehemu baadae ndiyo upige dawa. Vitu ulivyotoa nje pia inabidi uvi-treat kwa dawa na nguo uzichemshe kama supu.Nimevamiwa na Jeshi la kunguni naomba msaada nimejaribu dawa mbalimbali za kunguni bila mafanikio tafadhali naomba msaada ili niweze kupambana na jeshi hilo!!.
Haiui kunguni hiyo mkuuPole mkuu tafuta dawa inaitwa diazon ipo kwenye kachupa kadogo hivi unachanganya na maji lta 1½ inauzwa 2000 au 2500 hivi ile n dawa kweli
Hall 1 UDSM BLOCK G mwisho wa maelezo.
Kuna siku wakati nakaribia kuodoka nikasema ngoja nipumzike kidogo. ile kushituka nina kunguni kama 200 wengine watoto. nikajisemea leo nitapanda daladala ya nani!
Kunguni hawletwi na uchaf ila wakikutana nao ndo wanakuwa wengiKunguni wanaletwa na uchafu.
Inaua mkuu mi niliwah itumia ni miaka sasa sjawahi waona tena
Mabibo hostel bloc C achaneni nayooo 🔥Mzee kuna hall 6 pia ni hatari asee bora ulale mchana usiku usome[emoji23][emoji23]
Hapana mkuu, labda uwe type ya fumigations kila miezi 3,kitu ambacho sio common kwa watanzania kumbuka hawa jamaa sehemu zao wanazokaa sometimes ni pale huwezi zania na si kitandani pekee na wanatabia ya kwenda kula na kurudi wanakoishi safety pia hawaitaji madume kuzaliana huyo ndio Baba na mama dadek, very soon within 3weeks wanakuwa maelfu ndani, kitendo mpaka uwaone itambue wako maelfu ndani mwako.Kama ukiwa mtu wa usafi home hata kama ulimchukua kwenye daladala hatoweza kuishi.
Wewe unavyumba vingapi maana hawa wadudu ni zaidi ya uchawi aisee [emoji23][emoji28]Pia kuna ile ya kumix sabun ya unga na mafuta ya taa na chumvi laini japo mi bnafsi sijawahi itumia hiyo nilitumia diazon hiyo tatzo likaisha nasi
Pole sanaNimevamiwa na Jeshi la kunguni naomba msaada nimejaribu dawa mbalimbali za kunguni bila mafanikio tafadhali naomba msaada ili niweze kupambana na jeshi hilo!!.
Mkuu kama una buku hapo,Nimevamiwa na Jeshi la kunguni naomba msaada nimejaribu dawa mbalimbali za kunguni bila mafanikio tafadhali naomba msaada ili niweze kupambana na jeshi hilo!!.
Yaaan ukiwapatia dawa husika tu huwaoni amini make mi walikuwa weng kuanzia seburen mpka vyumbani hukoWewe unavyumba vingapi maana hawa wadudu ni zaidi ya uchawi aisee [emoji23][emoji28]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app