Nimevamiwa na kunguni

Nimevamiwa na kunguni

Wamba hawa hapa
images (7).jpeg
 
Hawa wadudu , nimewajulia hosteli .
Mara ya kwanza nilizani ni mbu wananiumaga usiku, ila baada ya siku kuinua godoro - nikakutana na rundo la wadudu wenye damu
Nilimwagia mafuta ya taa , makila aina ya dawa niloagiziwa - lakini wapi
Ikabidi nikimbie ile hosteli
 
Hawa wadudu , nimewajulia hosteli .
Mara ya kwanza nilizani ni mbu wananiumaga usiku, ila baada ya siku kuinua godoro - nikakutana na rundo la wadudu wenye damu
Nilimwagia mafuta ya taa , makila aina ya dawa niloagiziwa - lakini wapi
Ikabidi nikimbie ile hosteli
Hall 1 UDSM BLOCK G mwisho wa maelezo.
Kuna siku wakati nakaribia kuodoka nikasema ngoja nipumzike kidogo. ile kushituka nina kunguni kama 200 wengine watoto. nikajisemea leo nitapanda daladala ya nani!
 
Kunguni wanaletwa na uchafu.
Ni Kweli mkuu, lakini tunawapata sehemu mbali mbali, kwenye madaladala, ukipumzika tu kwenye bench kariakoo unae, kwenye boat wapo kwenye mabasi ya mkoa wapo, hawa jamaa wapo very bright ataingia kwenye nguo bila kukuuma akitafuta sehemu salama ili akipata kiburudisho awe anapumzika katika security salama au angle safe kwake,infact ni kamdudu kenye akili lakini kepesi kukiua,
NI kamdudu ambako kanakuuma huku kakichukua taadhari ya kukimbia kwa haraka mambo yatakapoharibika kikomandoo.
 
Ni Kweli mkuu, lakini tunawapata sehemu mbali mbali, kwenye madaladala, ukipumzika tu kwenye bench kariakoo unae, kwenye boat wapo kwenye mabasi ya mkoa wapo, hawa jamaa wapo very bright ataingia kwenye nguo bila kukuuma akitafuta sehemu salama ili alipata kiburudisho awe anapumzika katika security salama au angle safe kwake,infact ni kamdudu kenye akili lakini kepesi kukiua.

Kama ukiwa mtu wa usafi home hata kama ulimchukua kwenye daladala hatoweza kuishi.
 
Back
Top Bottom