Nimevaa kanzu...

Umevaa kanzu miguuni umevaa kandambili? je koti hukuvaa kama wenzako wanavyovaa?
 
Umevaa kanzu miguuni umevaa kandambili? je koti hukuvaa kama wenzako wanavyovaa?

mguuni nimetia kubazi za ngozi saafi kabisa...
Koti siwezi kuvaa kwa sababu ya joto la huku nilipo...
 
jipige picha kuanzia kiunoni kwenda chini ili tuone.
 
vp swahibu yangu, tasbihi ushazibeba?! mradi tu isije ikawa gia ya kumwingia mtoto wa kisuni..!!
 
vp swahibu yangu, tasbihi ushazibeba?! mradi tu isije ikawa gia ya kumwingia mtoto wa kisuni..!!

una akili kama Nyerere Mkuu...
Kuna 'nikab' moja naifuatilia, nadhani hii itakuwa easy way in. Umenikumbusha na tasbih., naipitia sasa hivi pale Shekha Issa, Magomeni.
 
Onyo: Usiende nalo kwenye stuli ndefu


Il Gambino
 
Mi sitii neno! Maadam umeitendea haki kwa kuivaa chukuchuku.
 
Umeona ehh tufanye liwe vazi la taifa unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…