NIMEUNGUZA CARD YA SPIKA YA SUNDA

NIMEUNGUZA CARD YA SPIKA YA SUNDA

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,333
Reaction score
402
Habari wataalam ,naomba mwenye uelewa wa wapi naweza pata card ya spika za sunda 80,000W

Maana nimetafuta nimekosa nimeishia kupigwa tuu

Pia kama kuna ushauri juu ya namna ya kui-repair nisaidie
 

Attachments

  • IMG_20240908_112401_587.jpg
    IMG_20240908_112401_587.jpg
    551.7 KB · Views: 16
  • IMG_20240908_112403_771.jpg
    IMG_20240908_112403_771.jpg
    595.3 KB · Views: 12
  • IMG_20240908_112433_427.jpg
    IMG_20240908_112433_427.jpg
    578.7 KB · Views: 12
  • IMG_20240908_112418_721.jpg
    IMG_20240908_112418_721.jpg
    559.3 KB · Views: 11
  • IMG_20240908_112318_429.jpg
    IMG_20240908_112318_429.jpg
    505.9 KB · Views: 10
  • IMG_20240908_112330_200.jpg
    IMG_20240908_112330_200.jpg
    989.9 KB · Views: 17
  • IMG_20240908_112349_280.jpg
    IMG_20240908_112349_280.jpg
    861 KB · Views: 10

Attachments

  • Screenshot_20250402-103526.png
    Screenshot_20250402-103526.png
    1.3 MB · Views: 12
hizi nahisi hua zinamaanisha WAVE mawimbi ya sauti
Wachina sio watu...kuna uzi huku special wa subwoofers na music system watafute wale jamaa wakusaidie namna ya kupata Card nyingine, au kuisuka hiyo kama inawezekana.
 
80,000W hivi huwa ni kweli hizi wattage 🙌 maana speaker imeandikwa output 20W x 2 kwaio 40W.
Ni lugha za biashara hizo. Spika hii haiwezi kufikia hata 5000W sembuse 80,000W hata peak power haiwezi kufika huko.
 
Ni lugha za biashara hizo. Spika hii haiwezi kufikia hata 5000W sembuse 80,000W hata peak power haiwezi kufika huko.
Shukrani. TBS wanakwama sana hapa. What if mtu amechukua kwasababu ya hiyo power ilioandikwa hapa kumbe hata theluthi tu haifiki.
 
Back
Top Bottom