Nimeunguza acc 2 za forex leo

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10

Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.

Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.

Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
 
Utakuwa umejifunza kosa we don’t loose we learn
 
Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10

Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.

Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.

Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
Mkuu Ulikubwa na Psychology of Trading and Overtrading au
 
Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10

Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.

Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.

Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
Najua EURUSD imekutenda, pole sana mdau!!

Kumbuka jana kama sio juzi rais wa benki ya euope mario draghi alikua natoa speech baada ya hiyo speech EURO imekua moto sana!!

Mpaka sasa inapanda kwa kasi kama kifaru aliyeibiwa mtoto wake...
 
Najua EURUSD imekutenda, pole sana mdau!!

Kumbuka jana rais wa benki ya euope mario draghi alikua natoa speech baada ya hiyo speech EURO imekua moto sana!!

Mpaka sasa inapanda kwa kasi kama kifaru aliyeibiwa mtoto wake...
hii biashara ya kutegeme upepo wa yanayo endelea duniani hii!!

mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account mmmh,! kila la kheri ndugu zangu ktk kutake risks
 
Acha kabisa mkuu... Kuna siku kiduku alivurumisha kombora kwenye anga la japan pesa ya japan ikapanda kama inakimbizwa huku dola ikishuka kama jiwe limerusha kutoka juu ya mti!! Hapo sijaweka impacts za trump kwenye tax reforms...

Marais wa benk kuu za wenzetu wana nguvu sana akitoa speech jua soko litavurugika tu... Kama huna uzoefu na fundamental analysis ni bora ukae pemben mpaka upepo ukae sawa...
 
hii biashara ya kutegeme upepo wa yanayo endelea duniani hii!!

mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account mmmh,! kila la kheri ndugu zangu ktk kutake risks
Mtu akikohoa kwenye tweeter watu wanaunguza account!!!
 
Euro imenichafua hata mimi but leo soko lipo closed But sitakubaliana na hii loss 250$$ ila sina hofu nazan nita close chini kwakua mtaji upo 2000$+++haina mbaya
 
Sijui nianze ku trade real na mimi maana zile loss nilizokuwa naingia kwenye demo nikahisi labda sijaiva kumbe wote
 
Back
Top Bottom