robert heriel mtibeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Whackiest

    JamiiForums Tanzania Nimeungana na Watibeli

    Leo nilikaa kwa kutulia kuna bidada mmoja namuelewa sana kwenye moja nambili juzi kat alikua nachangamoto ya kifedha ukweli niliumia sana nikashindwa kumsaidia ingawa ni sehemu ya furaha yangu halii hii ilipelekea nikawa mnyonge sana kesho yake amenicheki walau nimpush alipokwama kila nikipiga...
  2. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

    Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka . Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao. Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana . Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
  3. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mh, Rais ikikupenda ndugu Robert Heriel Mtibeli , mtazame anakufaa katika kazi zako

    Wana-Ccm wenzangu ndugu Robert Heriel Mtibeli , mfikirieni kumteua . Kijana huyu anatufaa katika Serikali , Elimu yake ni Shahada . Umri 30s Atatufaa katika kutuandikia hotuba , n.k Asante
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Robert Heriel Mtibeli una akili sana na hakuna kijana anakuzidi akili hapa Tanzania .

    Robert Heriel Mtibeli ndo Kijana namba moja mwenye akili hapa Tanzania . Namuona Mbali Sana huyu Kijana, maana kwa umri wake wa miaka 31 tu Ila amefanya mapinduzi Makubwa ya kifikra kwa vijana . Naskitika kuona this guy is still underutilized , Serikali kama mnashindwa kutumia treasure Kama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie nyuzi hizi

    Wakuu Habari Za Uzima, Nimekuwa Msomaji na Mfuatiliaji Wa Stories Mbalimbali Humu Jamiiforums, Kuna Members Walileta Story hizi ila Zikanipotea, Naomba Mwenye Nazo Au Mwenye Link Anisaidie. 1. Uzi wa Kufirisika ( Hapa Watu Wanaeleza Namna Walivyokuwa na Pesa Nyingiii Wakafirisika ) 2. Story...
Back
Top Bottom