pole sana binti ucjali yataisha hayo, mwenzio nina mwezi sasa tangu yanikute sasa wewe ni PM tu tuongee vizuri nimekuzidi miaka miwili tu
Safari ya Tanga naomba tuwe sote samahani lakini.
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.

bila samahani.....tutakuwa wote Tanga......mjadala closed...
Asante na pole, nikisikia story kama hizo inanisaidia kias flan sijioni kama niko mwenyewe, asantePole sana mdogo wangu.. Hayo mambo huwapata wengi hata mie nimetoka kukabiliana nayo juzi juzi tuuu..
Nilikuja kugundua jamaa kumbe ana mke..! Niliumia sana lakini kwa sasa niko poa nimekubali ukweli na nimeachana nae moja kwa moja..! Inawezekana ukiamua..!! Mungu atakupa aliye wako..!!
Asante sanapolee saana....
Asante na pole, nikisikia story kama hizo inanisaidia kias flan sijioni kama niko mwenyewe, asante
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
Sasa nakupa ushauri dume USIKUBALI KUWA MNYONGE NA KUYAMALIZA KIMYA KIMYA!!!!!!! THE BEST 3 YEARS OF YOUR LIFE AINT A JOKE!!!!!!!!! Yaani UMSAMEHE BURE!!!!!!!!!! I SAY BULLSHIT!!!!!!! Binti FIGHT BACK!!!!!!! Ukikaa kiunyonge UTAPATA PRESSURE NA KISUKARI UTUACHIE HUYO BWANA TUMCHUNE!!!!!!!!!!!!!! FUC* THE PEACE!!!!!!!! DECLARE WAR!!!!!!!! 1. Nenda kwao huyo kaka waeleze UFIRAUNI WAKE WOTE (DONT LET HIM GET AWAY WITH IT!!!! NOT A DIME OF IT! MAKE HIM PAY!) Haitokupunguzia maumivu ila itakupa nguvu ya KUJUA WATU WA KARIBU YAKE WAMEMJUA UNDANI WAKE!!!!!!! Mazafanta mkubwa huyo!!!!! 2. Mtafute bibi harusi umueleze jinsi huyo Mazafanta alivokuwa NANYI NYOTE KWA MPIGO FOR 3 YRS!!!!!! Dnt feel bad its the truth anyway!!!!! Akiamua kuendelea nae ILA UKWELI KAUJUA(You will be doing her a favour) 3. Tell all his friends WHAT TYPE OF GUY HE IS!!!! Ndio wamjue uzuri tabia yake chafuuu!!!!!!!! 4. Tafuta mtu wa ofisini kwao UMPE FULL STORY ( PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!) Na umbea wa ofisini unavosambaaa WAKICHANGA WAJUE BWANA HARUSI Mazafanta ndio!!!! Vurugavuruga hali ya hewa ya harusi!!!!!!!
USIKUBALI KABISA MTU AJE MAISHANI MWAKO AJAMBIE JAMBIE MAISHA YAKO AFU AONDOKE WITHOUT PAYING FOR HIS CRIMES!!!!!!! HELL TO THE NO!!!!!!!!! Mimi X Wangu wote ZOEZI LA KUPAY FOR THEIR CRIMES NI CONTINUOUS!!!!!!!! Hawatokaa WASAHAU SIKU WALIOINGIA MAISHANI MWANGU!!!!!!!!! Mtu anakufanyia umafya afu anapiga "IM SO SORRY!" SORRY MY BIG FAT A**!!!!!!!!!
mh!!hayo mabifu yako yanakusaidia nini?masela washakumega,washakufaid,washakujua ulivyo mtamu,kwisha habari yako as longer nilishakukufaid!!bifu aliondoi kukugaraza kwangu,hiyo itabaki kichwani mwako tu,na ombea nilikuwa nakukwida kisawa sawa,ukitoka full maumivu!!
Sasa nakupa ushauri dume USIKUBALI KUWA MNYONGE NA KUYAMALIZA KIMYA KIMYA!!!!!!! THE BEST 3 YEARS OF YOUR LIFE AINT A JOKE!!!!!!!!! Yaani UMSAMEHE BURE!!!!!!!!!! I SAY BULLSHIT!!!!!!! Binti FIGHT BACK!!!!!!! Ukikaa kiunyonge UTAPATA PRESSURE NA KISUKARI UTUACHIE HUYO BWANA TUMCHUNE!!!!!!!!!!!!!! FUC* THE PEACE!!!!!!!! DECLARE WAR!!!!!!!! 1. Nenda kwao huyo kaka waeleze UFIRAUNI WAKE WOTE (DONT LET HIM GET AWAY WITH IT!!!! NOT A DIME OF IT! MAKE HIM PAY!) Haitokupunguzia maumivu ila itakupa nguvu ya KUJUA WATU WA KARIBU YAKE WAMEMJUA UNDANI WAKE!!!!!!! Mazafanta mkubwa huyo!!!!! 2. Mtafute bibi harusi umueleze jinsi huyo Mazafanta alivokuwa NANYI NYOTE KWA MPIGO FOR 3 YRS!!!!!! Dnt feel bad its the truth anyway!!!!! Akiamua kuendelea nae ILA UKWELI KAUJUA(You will be doing her a favour) 3. Tell all his friends WHAT TYPE OF GUY HE IS!!!! Ndio wamjue uzuri tabia yake chafuuu!!!!!!!! 4. Tafuta mtu wa ofisini kwao UMPE FULL STORY ( PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW!) Na umbea wa ofisini unavosambaaa WAKICHANGA WAJUE BWANA HARUSI Mazafanta ndio!!!! Vurugavuruga hali ya hewa ya harusi!!!!!!!
USIKUBALI KABISA MTU AJE MAISHANI MWAKO AJAMBIE JAMBIE MAISHA YAKO AFU AONDOKE WITHOUT PAYING FOR HIS CRIMES!!!!!!! HELL TO THE NO!!!!!!!!! Mimi X Wangu wote ZOEZI LA KUPAY FOR THEIR CRIMES NI CONTINUOUS!!!!!!!! Hawatokaa WASAHAU SIKU WALIOINGIA MAISHANI MWANGU!!!!!!!!! Mtu anakufanyia umafya afu anapiga "IM SO SORRY!" SORRY MY BIG FAT A**!!!!!!!!!
Kweli unafikiri hii njia itasaidia kupendwa tena?
Swala SIO KUPENDWA TENA!!!!!! Swala ni JE ALIEKUUMIZA ABAKI NA AMANI NA KUENDELEA NA KUJINAFASI NA MKE WAKE AS IF NOTHING HAPPENED!!!!!!!!!!! AS IF MOYO WAKO NI DEKIO!!!!!!!!!!!!
Ukikaa kimya na kusamehe ATAKUONA **** PLUS ATASIMULIA JINSI ALIVOKUFEDEDA NA KUKUACHA UKIWA HELP LESS! Huku akiendelea kula Bata na THE ONE!!!!!!!! Wala HATOJUTA NA KUKUMBUKA, ATAOA NA KUKUBEZA!!!!!!!!!!!!!
PAYMENT FOR CRIMES WE COMMIT IS CRICIAL!!!!!!!!!!!!!!!!
Lara1 muda mwingine inabidi kukubali matokeo, mtu kama hakutaki hakutaki tu huwezi lazimisha na kulipiza kisasi hakuto saidia ku cover maumivu uliyo yapata!
Sidhani kama hiyo itasaidia kupunguza maumivu ya mtu na ni bora amesema mapema kuliko ange muoa na kuanza kumtesa na kumsaliti ange pata maumivu ya milele!
Kwa sababu kufight back hakuto mrudisha huyo mwanaume zaidi ya kupoteza muda!
Jamaa alilo lifanya si zuri kabisa na wala halipendezi lakini ku fight back hakuto mbadilisha mawazo na hakuto mpunguzua maumivu yaliyo nayo! Cha kufanya ni kumsahau na kuanza upya maisha.