divalicious
Senior Member
- Mar 1, 2011
- 112
- 31
Anakutishia tu huyo ili aone reaction yako, unjua sasa wewe ufanyeje nenda pale kwake anapoishi tishia kujiua kwaajili yake, atabadili msimamo wake. Nakuona kweli uanamenda
Asante nimekusikia gonna try my besttulia hivyo hivyo
ukihisi unataka kuzimia, usizimie
hapo ndio MUUJIZA wako utaupata.
pole sana binti ucjali yataisha hayo, mwenzio nina mwezi sasa tangu yanikute sasa wewe ni PM tu tuongee vizuri nimekuzidi miaka miwili tu
dah......matukio......pole sana.......
pole sana binti ucjali yataisha hayo, mwenzio nina mwezi sasa tangu yanikute sasa wewe ni PM tu tuongee vizuri nimekuzidi miaka miwili tu
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
Asante nimekusoma, b blesseddah,....pole sana.....ngoja nikuPM kitu........