Nimeumizwa sana na mapenzi

Bachelor Tigirii
 
Kua na subira ndugu mapenzi yanatesa ni kutuliza akili na kuomba Mungu akupe hitaji la moyo. Kila la kheri katika hilo ipo siku utapata faraja
 
Yaani wewe wapenzi wawili tu ushakata tamaa, ndoa utaiweza kweli ?
 
Umejaribu kujichunguza.. Huenda ww ukawa ni sababu.
 
Haaa yan watu wa 2 tu ao ushachoka [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…