chinkychinky
Member
- Sep 24, 2020
- 18
- 170
Kuna tatizo?Yaleyale
hivi ukiwa wa kwanza kwanza kukoment kuna tunzo yyte au ni ile furaha tu kuwa wote watakaokuja ktk huu uzi watabidi wasome koment yako hahahaaaaaaaaa
hakuna tatizo bosi nilihisi ntakuwa wa kwanza baaada ya miaka mingi kupita na sikuwa na mchango wowote kumbe wewe ndo umekuwa wa kwanza.....no harm intendedKuna tatizo?
shida iko wapi?Yaleyale
hivi ukiwa wa kwanza kwanza kukoment kuna tunzo yyte au ni ile furaha tu kuwa wote watakaokuja ktk huu uzi watabidi wasome koment yako hahahaaaaaaaaa
Mkuu usijali ndio hivyo tena amekuwahi, amekuwa wa kwanza.Yaleyale
hivi ukiwa wa kwanza kwanza kukoment kuna tunzo yyte au ni ile furaha tu kuwa wote watakaokuja ktk huu uzi watabidi wasome koment yako hahahaaaaaaaaa
naomba tumuachie mzee wa kasumba ashamuwai hapoMkuu usijali ndio hivyo tena amekuwahi, amekuwa wa kwanza.
Dada anataka mtu wa kubadilishana naye mawazo tu, vipi wewe hutaki kubadilishana naye mawazo?
Mbele kunapendwa mkuu[emoji3][emoji3]hakuna tatizo bosi nilihisi ntakuwa wa kwanza baaada ya miaka mingi kupita na sikuwa na mchango wowote kumbe wewe ndo umekuwa wa kwanza.....no harm intended
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji3] nikwelinaomba tumuachie mzee wa kasumba ashamuwai hapo
Pwagu na Pwaguzi ๐Mi kijana miak 26 elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawil wakati tofauti shida Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay girl kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najion mpweke Sanaa nahitaji marafik wa kubadilishan nao mawazo jinsi ya kike kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji natak nijipe angalau miaka miwili kwanza Mimi na wewe nadhani ni mapacha tunaweza badilishana mawazo piemu
Karne ya 21 yenye maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia bado unawaza na kuamini mambo ya Nyota?Mimi ninaamini nyota kuhusu hili, tarehe na mwezi wako utajua wewe ni nyota ipi halafu Google ni me yupo unaendana naye, katika hilo angalia pia nyota ipi ipo juu yako maana itakusumbua kidogo, tafuta ile ambayo mko sawa na kama Una mapungufu rekebisha ili isije ikawa wewe ndio chanzo cha matatizo yako.
Pipa na Mfuniko.Pwagu na Pwaguzi ๐
hakuna shida nshatolea ufafanuzi hapo juu....kuhusu neno yaleyale ni kuwa leo nimeona nyuzi nyingi za masikitiko ya mahusiano hypothesis ni kuwa vilio vitakuwa vingi kushinda kilio cha Rahel akimlilia mtoto wake kule Ramah hahaaaaaaaa......shida iko wapi?
Dada kasema anahitaji marafiki au macho yangu mabovu?[emoji3]naomba tumuachie mzee wa kasumba ashamuwai hapo