Nimeumia sana

Nimeumia sana

Mashabiki wa lissu watakamatwa kwa mtego huu.
Wakuu habarini nimekuja kutolea machungu yangu hapa.

Hivi inakuaje mwanaume mnaandaana vizuri kabisa kwajili ya mgegedo halafu anaghairi na ukiangalia nina minyegezi zimejaa? Yaani, dah! Mtu kabisa anakukatili anavaa anaondoka like serious! Wakati huo yeye akibanwa na nyegezi anytime anapewa.

Wakuu sio siri imeniuma sana.

am better here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabsa ndomana nkaja kutolea machungu yangu huku maana me mwenyewe ckuamini nilicho kiona nkajua anatania ohoooo naona anavuta boksa suruali ikwapi shati lile pale viatu vile mtu huyooo kaaga kaondoka and am like WTF.....

am better here
Aiseeh si angepiga alafu ukanywa kidonge,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema anaogopa mimba ety kisa nmetoka period Jana hahah

am better here
Chaaaa kazengua, kuna haja ya wapenzi muwe kwanza mnafundishwa hii njia ya kalenda .

Yaan kaukosa mzigo kizembe sana namna iyoo .. Mimba ??? Siku moja baada ya P ?? Daaahhhh .

Mama , siku ukimaliza P kama nileo..kesho yake tustuane
 
Chaaaa kazengua, kuna haja ya wapenzi muwe kwanza mnafundishwa hii njia ya kalenda .

Yaan kaukosa mzigo kizembe sana namna iyoo .. Mimba ??? Siku moja baada ya P ?? Daaahhhh .

Mama , siku ukimaliza P kama nileo..kesho yake tustuane
Au jamaa wa kusoma? Anaogopa kuhudumia ahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae unatuzuga tuu kwani kwako hamna ichi
7A1BB8C0-0A30-46AA-83E7-CBE2DBFA73AC.jpeg
 
Huenda kabisa akawa wakusoma , alafu nin iyo sio siku ya mimba aseee , bora aseme ilikua wakat wa period ( baadhi ya akina mama wenye mzunguko mfupi mfupi huwa hii kitu inawasibu)

Ila daaaahhh upele humuota asiye nakucha
Ndo ivo,,, hizi kwetu huwa hazitokei,,, maaana never miss the taget

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom