Nimeumia sana

Labda kama nimemkosea afu hajanambia lkn katika kunbukumbu zangu sijamkosea kabsa ..pia kuhusu kunuka hapana maana anafika me natoka kuoga sababu anayotoa ni kwamba eti anaogopa mimba kwavile nimemaliza period Jana kwaio Leo naweza pata mimba.....

am better here
Kwa hiyo sababu mmmnh
 
Ayaaaa

am better here
Sasa utakapopata mwanya wa kujibu niandikie "Namba ya simu" na jina lako kamili.
Maana naona unaPM nyingi
..utakaponijib, hakikisha Umemaliza kazi zote ulizonazo, umerelax , na upo kitandan, hata kama ni saa saba, ...nitakua macho kungoja pM yako.

But uanze na Namba na jina For insurance purposes!!

Wish you marry Christmas
 
Umenikumbusha hii kitu ilishawahi kunitokea. Nilipata Dem mkali sana kwa umbo. Ila nilivyomvua nguo zake zote wakati namuandaa nikauona mwili wake umejaa vidotidoti vingi kuanzia tumboni hadi mgongoni. Hisia zangu zikahisi atakuwa na VVU. Nilianza kumshawishi tukapime ila alikataa. Hivyo niliishia kumuandaa na kuishia hapo tu maana stim yote ilishakata.
 
Hahaha ucjariiii

Hahaha mkuu iyo balaaaa

am better here
 
Back
Top Bottom