Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Nyie mlimpigia kura mgombea wa Ukawa usilalamike kubali matokeo yeye ni rais wa wanyonge wote bila ubaguzi.Nikiwa ni mmoja wawatu walio bomolewa nyumba zao maeneo ya kimara ,pamoja na biashara kuharibika, jana nilipoona Muheshimiwa Mtukufu Raisi wangu kutamka maneno haya nimesikia moyo umekufa ganzi nikawaza kwanini sisi Na kwanini wao?? Of coz Nimeumia nikiwaza nilivyo vuja jasho kubeba zege nakufanikiwa kujenga kakibanda kangu na siku kana bomolewa nilitoa machozi na niliumia sana. Hii inaumiza View attachment 711081
Pumba on fleekIla huko dar si mlikua mnalalamika miundombinu mibovu mara barabara ndogo zinahitaji upanuzi bla bla tele, watu wa dar sion haja ya kuumia wakati jiji linajengwa na kuchongwa vizuri
Ubaguzi live bila chenga
Mende yule aliyepandwa then ukazaliwa weweView attachment 711086 mende wewe
Hizo nyumba tangu zimebomolewa barabara ishajengwa? Au mkuu alikua anaonesha upendo wake kwa masikini?Ila huko dar si mlikua mnalalamika miundombinu mibovu mara barabara ndogo zinahitaji upanuzi bla bla tele, watu wa dar sion haja ya kuumia wakati jiji linajengwa na kuchongwa vizuri
Tena alipandwa kabla ovari hazijaivisha mayai[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 711091 mende wewe
Hizo nyumba tangu zimebomolewa barabara ishajengwa? Au mkuu alikua anaonesha upendo wake kwa masikini?
Tena alipandwa kabla ovari hazijaivisha mayai[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una huakika gani kuwa nilipiga ukawa?Nyie wanaume wa Dar si mlimpigia kura Edward Lowassa wacha awakomeshe
Kwahiyo unataka kusema mkuu ni muongo,anawadanganya hadharani hao masikini anaowapenda.Mipango ipo mbion kuanza jengwa. Huko anakosema wasibomoe ni kutulizwa kwa muda tu ila patabomolewa vizuri tu.
Kwahiyo unataka kusema mkuu ni muongo,anawadanganya hadharani hao masikini anaowapenda.
Kulikuwa na ulazima gani wa kubomoa kipindi ambacho mipango ya ujenzi kuanza haijawa tayari? Au huo ndio upendo anaousema kwa masikini?