Ryan The King JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 2,789 Reaction score 2,701 Nov 26, 2017 Thread starter #101 ney kush said: hadithi haijaisha hii mkuu rehema wa australia na asnath wa bongo bado wanaendelea kupigana hapo m'city au? mawasiliano yenu yapo vip kati yako na hao mabondia baada ya ugomvi? Click to expand... Mkuu subiri nitulie nitatoa mkasa mzima. Maana hawa wadada walipa simulizi zima baada ya Mimi kuwakimbia
ney kush said: hadithi haijaisha hii mkuu rehema wa australia na asnath wa bongo bado wanaendelea kupigana hapo m'city au? mawasiliano yenu yapo vip kati yako na hao mabondia baada ya ugomvi? Click to expand... Mkuu subiri nitulie nitatoa mkasa mzima. Maana hawa wadada walipa simulizi zima baada ya Mimi kuwakimbia
Ryan The King JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 2,789 Reaction score 2,701 Nov 26, 2017 Thread starter #102 Tallyi said: Uandishi mzuri sana..kweli unastahili madem wakali na haswa adi kufikia atua ya kukugombania..ingekua mm cjui ingekuaje mbio zake.. Click to expand... Ungekimbia Kama huyo
Tallyi said: Uandishi mzuri sana..kweli unastahili madem wakali na haswa adi kufikia atua ya kukugombania..ingekua mm cjui ingekuaje mbio zake.. Click to expand... Ungekimbia Kama huyo
T Tallyi Senior Member Joined Jun 6, 2017 Posts 156 Reaction score 139 Nov 26, 2017 #103 Michaelray22 said: Ungekimbia Kama huyo Click to expand... Yani vbaya mno
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Nov 26, 2017 #104 Halafu mkafanye kazi hiyo elimu tuione siyo kutuandikia mazingaubwe
Ryan The King JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 2,789 Reaction score 2,701 Nov 26, 2017 Thread starter #105 Tallyi said: Yani vbaya mno Click to expand... Yaani si mchezo. Ningebaki ugomvi ungehamia kwangu. Kukwepa aibu ni Bora ukimbia ukipata nafasi
Tallyi said: Yani vbaya mno Click to expand... Yaani si mchezo. Ningebaki ugomvi ungehamia kwangu. Kukwepa aibu ni Bora ukimbia ukipata nafasi
Ryan The King JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 2,789 Reaction score 2,701 Nov 26, 2017 Thread starter #106 Mamndenyi said: Halafu mkafanye kazi hiyo elimu tuione siyo kutuandikia mazingaubwe Click to expand... Sawa Mama. Kazi na dawa Mkuu
Mamndenyi said: Halafu mkafanye kazi hiyo elimu tuione siyo kutuandikia mazingaubwe Click to expand... Sawa Mama. Kazi na dawa Mkuu
Papupi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,029 Reaction score 3,245 Nov 26, 2017 #107 Nasubiri sehemu ya pili
Ryan The King JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 2,789 Reaction score 2,701 Nov 27, 2017 Thread starter #108 Papupi said: Nasubiri sehemu ya pili Click to expand...