Nimeulizwa Jinsi Yangu

Awali nilipuuza lakn sasa nalazimika kustuka ninapoona pm tatu zinaniuliza mm ni jinsi gani, wewe unadhani mm ni jinsi gani?
Amavubi nimekusomaga sana hapa JF. Wewe ni kidume. Wabisha?
 
Last edited by a moderator:
Ili nimpe jibu afunue kifua,otherwise sioni mantiki ya kuuliza jibu ambalo ako nalo
Jerrymsigwa, hiyo hapo kwenye bold ni kiswahili cha Kenya. Huku Tanzania tunasema hivi: ........kuuliza jibu alilo nalo.
Karibu Tanzania na jitahidi kujifunza kiswahili cha tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Jerrymsigwa, hiyo hapo kwenye bold ni kiswahili cha Kenya. Huku Tanzania tunasema hivi: ........kuuliza jibu alilo nalo.
Karibu Tanzania na jitahidi kujifunza kiswahili cha tanzania.

Mkuu bwana sawa tu hakuna tabu
 
Last edited by a moderator:
Amavubi kwa nn umeanzisha huu uzi?
 
Last edited by a moderator:
Awali nilipuuza lakn sasa nalazimika kustuka ninapoona pm tatu zinaniuliza mm ni jinsi gani, wewe unadhani mm ni jinsi gani?

sasa kwa nini na wewe ujitoe akili?
acha hizo.
 
Ni demu tena malaya.. Swali gani unatuuliza hapa we mwanamke malaya?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…