Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,186
- 6,402
Nipo Canada baada ya kutoka Sweden na Switzerland. Sasa nlikuwa naongea na mdogo wangu na familia yake. Wao wamekuja nyumba yao ya huku Canada maana wanasema walikaa sana nyumba yao ya Dubai wakaona wapite Sweden kukagua nyumba yao ya huko then waje pumzika hapa hata week mbili.
Mdogo wangu yeye ameoa Mzungu wana watoto wawili. So wakawa wananihoji na Mkewe kuhusu hali ya hewa ya Dar. Kipi ni kipindi cha Baridi na Kipindi cha Joto.
Ninejikuta sijui niwajibu nini. Mimi toka nimeanza kuja Dar sijui ni kipindi gani cha Joto.maana kwenye gari ni FULLTIME AC, HOME FULL TIME AC,OFISINI FULL TIME AC. pale home Kibarazani ni Full time AC.
Na hizi ni zile za kisasa ambazo ukisema kuwa ziwe zinaji regulate lets say 25C basi hiyo ndo inabaki hivyo miaka yote joto likishuka yenyewe inapandisha hadi hapo. Likipanda inashusha mpaka hapo. Au unaweza set iendane na joto standard la mwili. Ni auto.
Hivyo najikuta sielewi ni kipindi gani Dar kuna joto au baridi. Najua tu mvua maana huwa naona inanyesha. But joto na baridi? Hapana.
Labda mnisaidie huwa kipindi gani mnasikia sana joto au kipindi gani mnasikia sana baridi. Kwa miezi. Like kwa huu mwezi (nadhani hata huko Tz huu utakuwa mwezi wa pili kama huku mi sijui sana mambo ya Tanzania) je hiki kipindi ni joto au baridi? Wanataka kujua waje watembee kidogo kama hali itaruhusu angalau watoto nao waione Tanzania ilivyo.
Nliwaonesha nyumba za Kijitonyama,Masaki,Mikocheni na Msasani wakashangaa kuwa kuna nchi ni maskini sana. Nikawaambia huku ndo watu wanaishi maisha magumu. Wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka mpaka akapoteza fahamu. Amekuja amka analia sana kuwa Africa ijitahidi kuondokana na maisha ya namna hii.