Nimeua mgeni wangu leo

watu wa maliasili watoe elimu hapa then watoe namba zao ambazo watu tutawatafuata pale ambapo wadudu au wanyama wa porini wanapovamia makazi yetu,
Kweli kabisa kaka,hiyo ni hela na imeteketea bure kabisa kwa sababu ya uzembe wao,kwa jinsi alivyokomaa alitakiwa kuwa hata kwenye zoo huyu.
 
Nyoka anaishi ndani ya nyumba inasemekana hadhuru mtu. BTW huyo anaonekana kuwa ni chatu, hana madhara kwa watu mjini ila kwa mifugo pekee.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…