Enzi hizo nilikuwa nanyoa PUNK, najirusha na ngoma za mamtoni vimwana wananigombea pale Maggot...
Umeona suruali yangu ya mchele mchele na shati la bahama?
Mtambuzi mm sijaumis kabisa ujana najipenda sana na huu uzee hivi hivi na kwakuwa ninachopenda napata wala sina shida.
Ila mimi umenikosa.....................lolz.
Heri mimi kijana! Hivi uzee ukoje?