Nimetunukiwa penzi

Jamani nimetunukiwa penzi, karibuni kwenye get together nitamtambulisha rasmi kipusa wangu kwa wapwa na mabinamu chini ya uangalizi wa Bwana Nguli na Bwana Fidel80.

Dah tunafrahi sana sasa usiishie kumega tu fanya kweli mpaka harusi wapwa tuje tureke ruke kwenye sherehe.
 
mpwa sipo!hahahahaha
AMEKUTUNUKU PENZI?!ahahahahahahahahahahha

amekuzawadia?!hahahahahahahahahahaha

ngoja nicheke kwanza then nitakuuliza kama ULIMTONGOZA,AU YEYE ALIKUTONGOZA!hahahahahhhhhahahahahah
 
Du hongera sana mkuu,naona unatekeleza ule ushauri wa wapwa kwamba kama unampenda na kumjali utamtambilisha kwa rafiki zako.Natamani ningekuwepo,nikajionea kwa masikio yangu mwenyewe.To be honest umetupa heshima kubwa sana,KWELI JF INAZIDI KUKUA.Oooh God sijakutwangia SENKS,ngoja nikaitwange.


SERIOUSLY??????:confused:
 
Hongera sana Sipo please usisahau kumwalika PJ awe mgeni rasmi kwenye huo utambulisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom