Nimetumwa Nguo Chafu Ya Adui Yangu Nitaipataje?

Wadau Wenzangu Wa Mambo Ya Jadi Nimepitapita Maeneo Flani Nimetumwa Nguo Yake Chafu Yenye Jasho Nitaipataje Maana Nitahangaika Nae Miaka Na Miaka Mpaka Akione Cha Mtema Kuni.Sitakubali Kushindwa.
Achana na ushirikina wa kijinga - kuweka visasi na wivu ni kujiiumiza mwenyewe tu. Tumia nguvu zako kwa kijiendeleza kijamii, kielimu, kiuchumi n.k
 
Kuhangaika na mtu "miaka na miaka" ni utaahira na ugonjwa mbaya sana. Huenda hata huyo "adui" hana taarifa kwamba kuna kiumbe mmoja halali kwa mawazo mabaya juu yake. God have mercy on you.
 
Back
Top Bottom