Nimetumiwa SMS hii....

duuuu!!!ingekuwa balaaaaa maana kila nyumba ingekuwa na mlio wake,low,medium,high
 

Umegubikwa na mawazo ya uzinzi! Wake up !
 
Tena unaambiwa kwa maspeshalisti hiyo inanunuliwa ghali kuliko mtandao wa kawaida, ha ha ha haaaa! Dunia hii imepinda mkuu!
Just an anecdote: Kuna vijana kutoka sehemu fulani ya Tanzania walinihadithia kuwa walipokwenda Misri kusoma, kwenye nyumba za biashara ya ngono mtandao wa tiGo ulikuwa unauzwa rahisi kuliko ule wa kawaida. Watanzania wale walihamia kwenye tiGo muda mrefu.... mpaka mmoja akaenda kuwachomea kwa wenye biashara, kuwa hao vijana hawatumii tiGo kwa umasikini bali kwa mazowea.

Hata pale bei ya tiGo ilipopandishwa, wao hawakuhama mtandao huo licha ya kulazimika kulipa dabo au tripo.
 

Cheza na mazoea wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…