bora...maana ww unalala nayo mfukoni...ingekausha KICHUPA CHA MBEGU...
icho kiwanda kikikauka utawehuka ww...tema mate juu!
Hakuna ukweli wowote hapo. hiyo hbr haipo shm yoyote. Nina software kumi za hbr... Afu nani alisema mars inatoa COSMIC rays? hiyo haiwezekani hata kdg. Cosmic rays do not come from planets bali stars
hata ww injini ya jiji huna data?...basi hapa itakua uongo...