Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Kuna mtu kanitukana, ni mtoto wa kike... nimetafuta kwenye kamusi ya kiswahili nimekosa...sina raha kabisa hapa nilipo, mpaka nijue maana yake... tunaongea vizuri tu mara akaniambia "Inahuu" ebu fanya yako....maneno mengine mie sina tatizo nayo, nataka nijue tu ili neno..........." inahuuu".