Nimetukanwa jamani...msaada wenu.

Nimetukanwa jamani...msaada wenu.

Pole kaka mi jioni moja narudi home na kimkweche changu nasikia konda wa daladala ananiambia oya acha kumbwelambwela,nilitamani kushuka nipigane.Maana ni bora unitusi nikakuelewa kuliko kunitusi halafu nisielewe maana yake...

hahaha baadae ulikuja kujua maana ya hilo neno....HUWA NALITUMIA SANA ndio maana umesema
nimecheka sana
 
na wee mjibu hivyohivyo kuwa"" inahuu""
 
Na wewe mjibu "haihuu" haya ni maneno ya msimu kwa kiswahili huwezi kuyakuta kwenye kamusi . Hilo sio tusi mkuu.
 
Nawe ungemwambia 'inahuu mwenyeweeeee'

Nawe ungemrudishia tusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom