Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

si ndio ulomtoa kwao bwana
Sikuwahi kujua km huu msaliboko wangu unathamani kiasi hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante Mungu maana sijawahi kumsabua mdada asitake turudie.[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] ....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jiangalie nawewe utakuwa na matatizo nadhani,na ndiomana unakimbilia kuichimbia shimoni,mana kama hainakasoro unaichimbia kwanini?
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Midume rijali tupo dada usipate shida, we jiongeze tu huku pm tufanye malipizi ya kipind chote cha mateso
 
Me sija elewa amekuja kutushukuru kututaharifu au kutuomba ushauri,maana kamaliza kila kitu(maamuzi kashafanya)
 
Ni tatizo linatibika nadhan ungekuwa na subra msaidiane kutafuta Tiba sio kumwacha
 
unapatikana wapi nije kukufariji..............................................nikuondolee na ugwadu wote ulionao....mana jamaa jogoo si alikuwa hawiki
 
Sasa kunafaida gan yakumpiga chini huyo Mme wako hali yakuwa uhitaji bwana mwingine sibora2 ungeendelea kuvumilia
 
Back
Top Bottom