Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake upo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au upo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Ina maana hata wakati wa uchumba hamkuchunguzana... yaan mpaka mko kwenye ndoa ndio unajua...
Anyway si wanaume wote wako hivyo... huyo anamatatizo tu..
Laki sooner or later you will need a man...
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Hukuwa kwenye ndoa mlikuwa mnazini tu! Mwenye ndoa hawezi sema hayo AU umeleta story watu wacheke!
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Umefanya haraka sana kuachana naye. Hilo tatizo ukifuatilia vizuri linatibika
 
Wee!,inamaana mlikuwa hamkung'utani kabla ya kula kiapo ili umjue madhaifu yake huyo jamaa yako?.
 
Back
Top Bottom