Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

Nimetua mzigo, sihitaji mwanaume tena

Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Wewe bado una kiwewe sasa kakosa ka janaume moja ndiyo utulee lawama na uchuro wanaume wote.. Ebooo!

Tamaaa zako kupenda slope ukaambulia koroma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , money is not everything mama...! Kama shida ni msaliboko njoo sasa hapa ni kinyume chake utakimbia kwa mashambulizi wahi PM.
 
Hata wewe unaweza kuwa unaitwa mwanaume kwasababu unavaa suruali tu na huna lolote
 
Yaani ungejua jamaa alivyokua anatueleza matatizo yako. Tulikuona kama kiroba cha misumari ya inch 3 ile ya zege.
 
Hata wewe unaweza kuwa unaitwa mwanaume kwasababu unavaa suruali tu na huna lolote
Mimi ni zaidi ya mwanaume nipo ngazi moja juu ni KIDUME, ila butter trade MSALIBOKO kwa PAPUCHI si vinginevyo masuala ya kuleteana ujambazi eti K kwa pesa big no..!

Umasikini wa kwenu kaa nao hukohuko nitakupa nikijisikia not otherwise.
 
Vibamia oyeeeeeeeeeeeeeeeer kwa taarifa nilizopata muhogo umeshindwa kazi huko
Umenifanya nicheke kwa nguvu kwa..kwa...kwaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo vibamia vikatoe msaada cyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi ni zaidi ya mwanaume nipo ngazi moja juu ni KIDUME, ila butter trade MSALIBOKO kwa PAPUCHI si vinginevyo masuala ya kuleteana ujambazi eti K kwa pesa big no..!

Umasikini wa kwenu kaa nao hukohuko nitakupa nikijisikia not otherwise.
Hutoi pesa hata kwa ishara....
Teh teh
 
Ila nakushauri tu,
Sio wanaume wote wako hivyo,

Kwenye ndoa ya kiislam ikiwa umeolewa na Mme ambae hanithi au huridhiki nae,unayohaki ya kuomba taraka na kumfichia siri yake huyo bwana
 
Wakuu hbr za majukumu?

Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.

Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo wake ipasavyo anakuwa hana tofauti na hanisi.

Niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda kwa muonekano wa nje (physical appearance) kumbe ndani ni box tupu...nikisema box namaanisha hasimamishi ...na ikitokea kasimamisha basi haizidi dakika 10 hapo ni mpaka mwezi ujao tena. Sasa piga picha amesimamisha wakati upo kazini au upo mbali au unpo mp! ni mateso matupu!

Nimevumilia nimeshindwa last week nimeamua kuachana nae.

Nashukuru sana kutua zigo hili.....sihitaji mwanaume tena..papucha yangu naifukia shimoni.
Ukitaka kuujua uzuri wa kibamia... muulize hanithi.
 
Back
Top Bottom