habari zenu wana jf,
siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu ndipo daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi na mm nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mim akasema samahan kaka siti za mbele huwa sizipendi huku anachekacheka akaanza kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wp,mara leo fire folen hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona niko kimya akasema kaka vp mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa nan,unaishi wp,we ni last born nn umepanga au unaishi kwa wazazi akafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtuc matuc ya maana sijui hata yalipotoka hayo matuc aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habar ndani ya daladala.ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.[/QUOT
Kwa hiyo ulikua unatakaje sasa......kama ukitongozwa tulia kijana sio lazima utangaze. Jibu unalo wewe kumkubalia au kumkatalia. Very simple.
Haya tumekusikia
Kijana katongozwa anarusha miguu......embu mwambie nyie kwa siku mtapokeaga mitongozo mingapi. Mwambie atulie hivyohivyo.
Hahahahahahaahaaha,
Lols, nilikuwa sijaona signature yako.
Teh teh teeeeeeeh.
Evelyn Salt said:So kutongozwa tu ndo utangaze heeeee
ungekuwa wa kike ingekuwa ni tabu hapa
Hahahahahahaahaaha,
Lols, nilikuwa sijaona signature yako.
Teh teh teeeeeeeh.
habari zenu wana jf,
siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu ndipo daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi na mm nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mim akasema samahan kaka siti za mbele huwa sizipendi huku anachekacheka akaanza kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wp,mara leo fire folen hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona niko kimya akasema kaka vp mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa nan,unaishi wp,we ni last born nn umepanga au unaishi kwa wazazi akafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtuc matuc ya maana sijui hata yalipotoka hayo matuc aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habar ndani ya daladala.ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.
Nitake kwani naliwa mie?katongozwa kakubali/kakataa yake hayo....Kwaio mlitaka atongozwe na gay
Kinachokufanya ucheke ni nini!!!!!???????
Watu wana save threads na comments ujue ngoja siku nikuwekee majibu unayotoaga humu!!!!!!!