[emoji13]"Hainaga ushemeji sisi tunakulaga"
Pepo hilo . Utamtamanaje mdogo wa mumeo wakati una mume? Hivi umelifikiria hili kwa makini. Hebu kaombewe maana si bureHabari wandugu
Jamani kuna shemeji yang nimetokea kumpenda sana, kibaya zaidi ni mdogo wa mume wangu kabisa.
Yani sijui nifanyeje maana nashindwa kujizuia ukizingatia yupo mbali na mkoa ninaoishi mimi. Natamani angekuwa mchepuko wangu.
Mchuma janga,hula na wakwao.ukiona ni sahihi fanya utakavyo.Habari wandugu