Nimetokea kumpenda sana shemeji yangu

aida sanga

Member
Jun 3, 2016
63
21
Habari wandugu

Jamani kuna shemeji yang nimetokea kumpenda sana, kibaya zaidi ni mdogo wa mume wangu kabisa.

Yani sijui nifanyeje maana nashindwa kujizuia ukizingatia yupo mbali na mkoa ninaoishi mimi. Natamani angekuwa mchepuko wangu.
 
Hahaa Aida, mpe tu hata akikuzalisha siyo mbaya. Mumeo atajua mtoto kafanana na ndugu zake hivyo ni wake
 
Anaekumbuka Jerry Springer Show, kuna mama alidate wanaume wanne wa familia moja, alipata boyfriend walionjana, siku alipompeleka kwao alimkuta kaka yake boyfriend alimpenda zaidi, akamwaga boyfriend akaanza na kaka. Kaka hakuwa tayari kuoa lakini alifunga ndoa na mdogo wao wa tatu ambae aliishi Australia. Baada ya kupata watoto kwenye ndoa mume alifungwa, mdogo wa mwisho kwenye familia akawa anasaidia kuhudumia familia, nae alipata mgao.
 
Habari wandugu

Jamani kuna shemeji yang nimetokea kumpenda sana, kibaya zaidi ni mdogo wa mume wangu kabisa.

Yani sijui nifanyeje maana nashindwa kujizuia ukizingatia yupo mbali na mkoa ninaoishi mimi. Natamani angekuwa mchepuko wangu.
Jamani Shemeji!! Mpaka uje kujieleza huku, si ungeniambia tu? Hamna shida, tutafanya tu unachotaka....
 
kumpenda mtu sio kosa. Na hutokea mara nyingi sana lkn tunaangalia unampenda nani?
Dada yangu kuwa na huruma bac kwa mdogo wako. Muhurumie najua huenda ameshazaa na huyo mwanaume. Ndoa yake ikivunjika ww utamsaidia kulea watoto? Hiv mdogo wako km angekuwa ww ungejisikiaje?
Naomba achana na hizo hisia sbb
1. Utaibisha ukoo wenu
2. Undugu utakufa
3. Watoto wake watakuchukia na kukuzarau milele
4. Unaweza kusababisha akakufanyia kitu kibaya ambacho huwez kukisahau maisha yako yote.
Tumia akili nyingi na epuka hisia kukuongoza. Usijifikirie ww mwenyew, mfikirie ndugu yako
Ngono isikufanye ukapoteza utu kwa wengine
 
Back
Top Bottom