Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
humu ndani kuna binadamu wanamaamuzi ya busara sana....nimeipenda hiindo shida ya kupenda, haiangalii unapenda wapi. fanya umwambie tu huenda akakuonea huruma japo akuonjeshe mara moja.
humu ndani kuna binadamu wanamaamuzi ya busara sana....nimeipenda hiindo shida ya kupenda, haiangalii unapenda wapi. fanya umwambie tu huenda akakuonea huruma japo akuonjeshe mara moja.
Ndio kaka yakeWewe una bwana..Tuanzie hapo kwanza
HapanaYeye anafahamu haya?
Akiriject request yako utafanya nini?Hapana
Anaweza kumla mbonaJenga picha mumeo kampenda mdogo wako kabisa wa damu halafu anashindwa kujizuia!.
Nimempenda shem wangBadala ya shemeji yako, tafuta Jamiiforums..
Atakuwa hafahamu...Yeye anafahamu haya?
nimengamua kwamba Unapepo siyo Bure, tafuta msaada wa kiroho ndugu Yesu Akutoe hilo pepo la uzinifu.Habari wandugu
Jamani kuna shemeji yang nimetokea kumpenda sana, kibaya zaidi ni mdogo wa mume wangu kabisa.
Yani sijui nifanyeje maana nashindwa kujizuia ukizingatia yupo mbali na mkoa ninaoishi mimi. Natamani angekuwa mchepuko wangu.
Akifahamu anaweza akatae.Atakuwa hafahamu...
Muunganishie basiAnaweza kumla mbona
Sio mbayaSiamini Shem kama unamtamani yule dogo.
Ngoja nimshtue jamaa aje asome hapa
Na akikataa utafanya nini..?Akifahamu anaweza akatae.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Jamani Shemeji!! Mpaka uje kujieleza huku, si ungeniambia tu? Hamna shida, tutafanya tu unachotaka....
Wape nafasi na wengine..Nimempenda shem wang
Mshirikishe mme wako ili muone jinsi ya kumsogeza hapo mnapoishi.