Nimetokea kumpenda sana shemeji yangu

Nimetokea kumpenda sana shemeji yangu

Wewe una pepo la uzinzi
Kivipi mkuu?

Kana anaona ni jambo zuri amweleze mume wake kama alivyotueleza sisi ili wamlete karibu.

Kiswahili kigumu kueleweka.
Akishamfungukia mme wake tukutane ICU.
 
Ukishakua na nyota ya penis mda wote unawaza kutiwa tiwa.
 
kumpenda mtu sio kosa. Na hutokea mara nyingi sana lkn tunaangalia unampenda nani?
Dada yangu kuwa na huruma bac kwa mdogo wako. Muhurumie najua huenda ameshazaa na huyo mwanaume. Ndoa yake ikivunjika ww utamsaidia kulea watoto? Hiv mdogo wako km angekuwa ww ungejisikiaje?
Naomba achana na hizo hisia sbb
1. Utaibisha ukoo wenu
2. Undugu utakufa
3. Watoto wake watakuchukia na kukuzarau milele
4. Unaweza kusababisha akakufanyia kitu kibaya ambacho huwez kukisahau maisha yako yote.
Tumia akili nyingi na epuka hisia kukuongoza. Usijifikirie ww mwenyew, mfikirie ndugu yako
Ngono isikufanye ukapoteza utu kwa wengine
Mm ndo nimempenda mdogo wa mume wang
 
Kivipi mkuu?

Kana anaona ni jambo zuri amweleze mume wake kama alivyotueleza sisi ili wamlete karibu.

Kiswahili kigumu kueleweka.
Akishamfungukia mme wake tukutane ICU.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mm ndo nimempenda mdogo wa mume wang
Unaipenda ndoa yako kweli??!!!?
Kabla ya kufanya hayo yote muumbe mumeo talaka ili uwe huru. Halafu ndio ufanye unayoyataka.
Wanawake weng hupenda sana ndoa zao na waume zao lkn hujifanya hawalitambui. Ila watakapoachwa kwa makosa yao hulia sana.
Kuna mmoja huyu alitupia thread anasema atajutia mpaka kesho kutwa. Lkn ndio hivyo ameshaachwa.
Sijui nawe utakapoachwa kwa makosa yako. Sijui utamuumba Mungu amurudishe mumeo au?
 
Nilielewa vibaya...Aisee hivi wanawake mna nini?? Mbona hamridhiki na waume zenu. Hapo ni shemeji tu bado wale wa mtaani. Hizi ndoa hizi...

Inategemea na mtu sio wanawake wote. Wengine wanakuwa hawawezi kuishi bila waume zao ila kwenda nje ni kufurahisha mioyo au pia kutaka uroda tu wa maisha kujaribu kuona mchezo upoje. Yaani kuna walio na kila kitu mwanamke anataka kwenye ndoa hata kufikishwa kileleni ila ndio hivyo. miili yetu nayo inapata mabadiliko ni uamuzi tu na kuomba mawazo ya kuchepuka yssikutawale. Nasema haya kidogo kufuatia nayoambiwaga na wahusika.
 
nimeamini usemi kuwa..mtu akitaka kufa huonesha dalili!!!!duuuuh
 
Back
Top Bottom