Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Kwa hiyo kumbe mwanaume akichepuka na mwanamke naye anaenda kutiwa nje kama kulipa kisasi na mapenzi ana hamishia huko huko kwa mchepuko halafu na bado anaendelea kujiita mke wa mtu?
Aisee!! Kama ndio hivi acha tu vijana waendelee kuwatombaa na kuwaacha na sio kuwaoeni. Maana hamfai hata kidogo
Aisee!! Kama ndio hivi acha tu vijana waendelee kuwatombaa na kuwaacha na sio kuwaoeni. Maana hamfai hata kidogo
Maana yangu ni kwamba,wengi wanaume ndiyo mnaoharibu ndoa! Wanawake wanachepuka kwa hasira na kulipa kisasi na wanahamisha mioyo yao kwa michepuko ndiyo hapo ndoa inakuwa ipo ipo tu...
Hao wanawake wachepukaji hao ni malaya ukikosea kuoa utajuta lakini ukipata mwanamke sahihi hata uchepuke anaweza asichepuke na yeye...
Kuhusu mimi,hata wewe ungenioa usingejutia....

