Nimetokea kuchukia ndoa

Nimetokea kuchukia ndoa

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,830
Reaction score
10,089
Habari wana JamiiForums

Ni ukweli usiopingika kuwa toka nijiunge na jamii forum nimekuwa siyo mchangiaji mkubwa sana kwenye masuala mazima yanayohusu mahusiano hasa kwenye upande wetu wa akina dada.

Kiupande wangu siyo mpenzi sana wa kina dada lakini nilikuwa ni mtu mwenye ndoto ya kuja kuwa na familia bora.Busara zangu na muonekano na hata tabia vimenifanya niwe mwenye kutoa ushauri kwa watu wazima na hata vijana wenzangu,hali hiyo imenipelekea jirani yangu ambae sa hivi ana miaka 40,kuwa rafiki yangu na hata mshauri wake mkuu.

Ni tokea mwaka 2016 alikuwa akisumbuliwa mno na ndoa yake naweza kudiriki kusema kuwa ni mimi ndio niliyekuwa sababu ya ndoa hiyo kuendelea kutokana na ushauri nililkuwa nampa ambao ulikuwa unafanya kazi lakini mwisho wa siku wanavurugana tena.Mke wa jamaa ni mfanyabiashara na jamaa ni mfanyakazi wa benki fulani hapa Dar hivyo mkewe amefunguliwa biashara zaidi ya 3 na pia wamefanikiwa kuzaa watoto 3.

Maisha yao naweza kusema ni mazuri sababu wana uhakika wa kula wananyumba nyingi tu hapa Dar na hata magari zaidi ya ma 4 ya kutembelea,nimekuwa nikisuluhisha ugomvi wao hasa sababu ya watoto walio nao na pia mali walizonazo kwani zinaweza kuleta uadui mkubwa.

Lengo la kuyaleta haya ni baada ya siku ya leo asubuhi kwenda kumtembelea ndugu yangu na kumkuta mkewe akiwa barazani uchi wa mnyama akifanya mapenzi na muuza genge wa hapa mtaani kwetu,Hakika nilijikuta tu ninatetemeka kwa hasira nilichokifanya ni kuwapiga picha na kuondoka zangu,hivi hapa nipo tu mjini kichwa kinanizunguka ameshanipigia simu zaidi ya 100 lakini sipokei nadhani nahitaji muda wa kufikiri ili nifanye uamuzi eitha ni mpe tu ukweli mmewe au ninyamanze

Swali langu kwa akina dada ni kitu gani kinawafanya siku hizi muwe mnachepuka kiasi hiki,wakati mnapewa kila kitu ndani ya ndoa hakika mmenifanya niichukie ndoa.
 
Duh...hatari faya.barazani kabisa.hamna mke hapo.wagawane tu majengo kila mtu ashike hamsini zake.
 
Habari wana JamiiForums

Ni ukweli usiopingika kuwa toka nijiunge na jamii forum nimekuwa siyo mchangiaji mkubwa sana kwenye masuala mazima yanayohusu mahusiano hasa kwenye upande wetu wa akina dada.

Kiupande wangu siyo mpenzi sana wa kina dada lakini nilikuwa ni mtu mwenye ndoto ya kuja kuwa na familia bora.Busara zangu na muonekano na hata tabia vimenifanya niwe mwenye kutoa ushauri kwa watu wazima na hata vijana wenzangu,hali hiyo imenipelekea jirani yangu ambae ni 40 years now,kuwa rafiki yangu na hata mshauri wake mkuu.

Ni tokea mwaka 2016 alikuwa akisumbuliwa mno na ndoa yake naweza kudiriki kusema kuwa ni mimi ndio niliyekuwa sababu ya ndoa hiyo kuendelea kutokana na ushauri nlokuwa nampa ambao ulikuwa unafanya kazi lakini mwisho wa siku wanavurugana tena.Mke wa jamaa ni mfanyabiashara na jamaa ni mfanyakazi wa benki fulani hapa Dar hivyo mkewe amefunguliwa biashara zaidi ya 3 na pia wamefanikiwa kuzaa watoto 3.

Maisha yao naweza kusema ni mazuri sababu wana uhakika wa kula wananyumba nyingi tu hapa Dar na hata magari zaidi ya ma 4 ya kutembelea,nimekuwa nikisuluhisha ugomvi wao hasa sababu ya watoto walio nao na pia mali walizonazo kwani zinaweza kuleta uadui mkubwa.

Lengo la kuyaleta haya ni baada ya siku ya leo asubuhi kwenda kumtembelea ndugu yangu na kumkuta mkewe akiwa barazani uchi wa mnyama akifanya mapenzi na muuza genge wa hapa mtaani kwetu,Hakika nilijikuta tu ninatetemeka kwa hasira nilichokifanya ni kuwapiga picha na kuondoka zangu,hivi hapa nipo tu mjini kichwa kinanizunguka ameshanipigia simu zaidi ya 100 lakini sipokei nadhani nahitaji muda wa kufikiri ili nifanye uamuzi eitha ni mpe tu ukweli mmewe au ninyamanze

Swali langu kwa akina dada ni kitu gani kinawafanya siku hizi muwe mnachepuka kiasi hiki,wakati mnapewa kila kitu ndani ya ndoa hakika mmenifanya niichukie ndoa.
Mchana kweupe wanafanya ngono nje barazani???!!! Chumbani kunani?
 
Mchana kweupe wanafanya ngono nje barazani???!!! Chumbani kunani?
nahisi walikuwa wanafanya barazani ili mtu atakayegonga geti kubwa wamsikie kwa haraka sasa bahati mbaya geti kubwa hawakulifunga walilirudisha tu
 
mkuu asubuhi unaenda kumsalimia rafiki yako...siku ya kazi...huna shughuli yeyote?? si hata simu ungeweza mjulia hali.....yeye anaenda kazini wewe nini kimekupeleka kwake.......????? wewe huna ndoa ushauri wa ndoa unautoaje???? bado nna hofu na jinsia yako.......una tabia za kimama bwege wewe.....
 
Siyo kweli... Mume wake alikuwa wapi? Hao uliowakuta watakuwa wachawi - siyo shemeji yako.
dah mpka sasa japo nina picha ila siamini kwa jinsi jamaa anavyompenda na mwanamke alivyofanya sio mke wngu ila natamani iwe ndoto japo picha ninazo na tukio limetokea
 
mkuu asubuhi unaenda kumsalimia rafiki yako...siku ya kazi...huna shughuli yeyote?? si hata simu ungeweza mjulia hali.....yeye anaenda kazini wewe nini kimekupeleka kwake.......????? wewe huna ndoa ushauri wa ndoa unautoaje???? bado nna hofu na jinsia yako.......una tabia za kimama bwege wewe.....
mkuu usipende kumtukana mtu usiye mfahamu hekima ni kitu cha bure.
 
maisha ya ndoa yanachangamoto nyingi sana na hakuna ndoa ambayo haitatikiswa! lakini swala la kuoa lipo palepale kwa kuwa kuoa ni moja ya vigezo kuwa unauwezo wa kuhimili changamoto za dunia hii.
 
mkuu usipende kumtukana mtu usiye mfahamu hekima ni kitu cha bure.
umetukanwa wapi....we pumbafu sana...katafute kazi ya kufanya......mwanaume kamili hana tabia kama zako....eti na picha nimepiga..kapigie punyeto....iblisi wewe...wachana na ndoa za watu....
 
dah mpka sasa japo nina picha ila siamini kwa jinsi jamaa anavyompenda na mwanamke alivyofanya sio mke wngu ila natamani iwe ndoto japo picha ninazo na tukio limetokea
futa tu hizo picha na kama mwanaume unatakiwa kukaa kimya kwa future ya watoto kwa kuwa ndoa ni taasisi hivyo ni zaidi ya tendo la ndoa.
utajisikiaje ukiambiwa jamaa yako hajamgusa mkewe zaidi ya miezi mitatu! unafikiri huyu mwanamke tena bado mdogo anauwezo wa kuvumilia?
 
Back
Top Bottom